Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Anatakiwa kujibu aliyepelekewa malalamiko sio simbaviongozi wa Simba inatakiwa wajibu kama mkataba huo ni wa kweli, au la
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa kujibu aliyepelekewa malalamiko sio simbaviongozi wa Simba inatakiwa wajibu kama mkataba huo ni wa kweli, au la
Ukiimanisha nini?Sio sahihi...
Hebu ingia huko fifa uje utwambie mukoko na kisinda wanasomeka wachezaji wa wapiKule fifa mchezaji ni wa yanga, hapa tff mchezaji ni wa simba. Hahaaa siyo bure something is wrong somewhere
Unapojaribu Kuchambua kitu jaribu Kutoka katika Bias....Tatizo Ushabiki UnakusumbuaBinafsi baada ya kusikia madai Mwakalebela nikajiuliza Simba wawe wajinga kiasi gani watumie weakness iliyokuwa kwenye mkataba wa Yanga na Morrison na wao wafanye the same mistake moyoni nikasema haimake sense kabisa.
Baada ya kutafakari kwa kina nikaona maybe inaweza ikawa madai ya Mwakalebela yasiwe sahihi na yeye anajui madai yake sio sahihi lakini kafanye hivi kwa kusudi maalumu.
Kama unakumbukumbu hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu mbinu za kocha wa Yanga ninachoona Mwakalebela katumia sakata la Morrison ili kubadilisha mjadala wa mbinu mbovu za kocha wao ili watu wajikite kwenye issue hii aliyoibua ili kuondoa pressure kwa kocha wao na team kwa ujumla.