Jicho la tatu sakata la Mpina vs Bashe na hasira ya Spika Tulia

Wala hajakosea kuzimwaga,nia ni watanzania wajue kweli yote ili wawe huru kufanya maamuzi. Kwa kawaida taarifa kama hizi huwa zinachakachuliwa ili kulinda dola.
Sasa sisi wananchi tuliokuwa tunajipapatua, tunamsaidiaje Mpina na hiki kibano kilichomkuta?
 
POSIBLY CUMMISION ILITAWANYWA KILA PAHALA NA MLUNGULA ULIGAWANYWA KATIKA SEKTA ZOTE, NYETI, HIVYO NI NGUMU SANA KUPIGANA NA SUALA HILI, LABDA TUTOE HONGERA KWA PROGRAMMMER WA WIZI HUU.
 
Kosa la kumuadhibu mpina ni maumivu kwa Tim mkojani fc!!

Ni rahisi kumpsin mpina akiwa Bungeni kuliko nje!
 
We jamaa uko vzr sana.
Wewe ni genius maana utabiri wako mara nyingi umekuwa unatimia kwa kiasi kikubwa sana. Si kwa Tanzania tu, bali hata Kimataifa
 
Tulia uwone πŸ˜‹ sis ndio waleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…