EEEnHEEEeee!"Shadow war inside secret institution."
Yote aliyoongea HOJA Iko hapo pekee.
SAWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EEEnHEEEeee!"Shadow war inside secret institution."
Yote aliyoongea HOJA Iko hapo pekee.
Tatizo Mbunge akiwakilisha maslahi ya Wananchi, taifa anapigwa vita sana na bunge lote kuanzia spika.Igweeeee wana kidoni wazee wakunusa mbali tuna kuja na hii mpya kuliko zote. Kwanza tuanze kwanini Bashe ameingia kwenye vita kali na Mpina? Je, chanzo ni kitu gani na siri nikitu gani.
Awali ya yote ni lazima mjue Mpina sio wa anga hii wala sio wa type yao... mbaya kuliko yote ni moja ya watu kifo cha Magufuli kinamuuma sana na huenda yupo tayari hata kuuza uhai wake kumwaga Mchele na chuya basi kila mtu akose kiukweli Mpina ni mzizi mrefu sana 🤐 na nisiandike mie ila Kwenye x akina Kimambe wataanika.
Mpina amecheza rafu kali bungeni na kwa Bahati mbaya sana kiti pasipo kujua nini chaweza kutokea kikaona ngoja waombe athibitishe tuhuma zake kwa Bashe. Asijue Mpina ni mzizi mrefu na angeweza kuja na nondo zina weza zima bunge kwa masaa 24.
Bifu la Mpina na Bashe ni zito kuliko haya tunayoyajua na huenda kitalu kikagawanyika na kuzua mzozo wa kikatiba.🤐🙄
Kwanini Spika amevimba sana baada ya mwamba kumwaga Michele kwenye kuku wengi. Nani alimpa mamlaka hiyo na kwa nini afanye hivyo?
Je, alipata siri za ndani kwamba report yake itapigwa kata funua na mwanaharam spite hapo chacha ndio palipo mwakaza bb siri. Yaani mpaka ya chumbani anayajuwa huyu nani?
Well Mpina anataka kuumizwa ila sio kwa haki ni kwa dhuluma na nia mbaya kupoteza umaana wa ile report na huenda ficha mambo mazito nyuma ya report. Msishangae akapumzishwa kuudhuria bunge msishangae.
Ila pia msishangae kwa kile kitatokea baada ya mzalendo huyu zibwa mdomo. Bunge halitobaki kama lilivyokuwa na cheche zitakazo lipuka nje yakitalu zitaiacha jamuhuri ya wana kusadikika ktk maumivu makalu.
Ikumbukwe this is shadow war inside secret institute mtanielewa baadae.
Pia soma:
Kwamba ndio unajua leo huyo Bibi ni Empty Set?!Kuanzia leo, nimeamua kukupuuza na nakuona ni kama mtu usiyeumizwa na chochote juu ya madhila yanayowapata Watanzani wenzako na ama wewe ni mtu wa mlengo fulani na kwa sababu hiyo, hata kama kunapotokea makosa kwa watu wale walio kwenye mlengo wako, kwako ni manukato kwa sababu ulishajiwekeza hivyo
Mtu yeyote mwenye akili timamu na asiyefungwa na umlengo wa unganiko fulani, sharti amuunge mkono Mpina bila kujali itikadi
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!Haiwezekani nchi ya wengi imilikiwe na wachache
Hata Bashe ni wa Kanda hii hii ya Wasukuma - wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora about 227km kwenda Mwanza liliko Ziwa VictoriaBashe hakuingia kwenye vita yoyote na wala hajarudisha mashambulizi.
Mpina toka atemeshwe uwaziri anaonesha uhalisia wake, ni mbaguzi, na simply ni sukuma gang tu.
Bashe hana haja ya kujibizana na mjinga huyo, akae kimya tu, atajipiga kwa ujinga wake mwenyewe kama alivyofanya juzi, kashambulia yeye kajipiga kabari yeye.
Unaniandikia kana kwamba ulishawahi kuniona kwenye vungu na korido za CHADEMAHuko chadema kwenyewe si shwari
Kitambo sana ccm hakuko shwari... Ilishakosa dira na mwelekeo Tangu enzi za Nyerere. Ni vile tu waTanzania wana ujinga na umaskini mwingi.Mimi nimekuelewa vyema
Kuna maswali kadhaa ambayo mtu mwenye kufikiri vyema anaweza kujiuliza kuhusu sakata hili
1. Ilikuwaje Luhaga Mpina akusanye ushahidi wa nyaraka zile haraka vile tena zingine toka kwenye mamlaka nyeti za kiserikali kwa wepesi na kwa kupewa ushirikiano kirahisi vile? Hivi ingekuwa ndiyo kipindi cha wabunge wa upinzani kina Lissu, Lema and others wametoa tuhuma hizi tunadhani wangewezaje kuingia BRELA, TRA Benki mbalimbali nk na wakapewa nyaraka za namna hiyo?
2. Tunadhani ni kwanini Luhaga Mpina immediately baada ya kuwasilisha ushahidi wake kwa Spika akaitisha PC na kumwaga kila kitu hadharani kabla Spika hajaamua? Je, alishajulishwa kuwa ushahidi wake unakwenda kuchakachuliwa? Tunadhani Luhaga Mpina alikuwa hajui kuwa kanuni za Bunge zinamkataza kufanya alivyofanya? Tunadhani Luhaga Mpina hajui afanyacho? Hakuwa anajua matokeo yake?
3. Mtazamameni Spika Dr Tulia Ackson wakati anasoma taarifa yake. Si kwamba alikuwa amekasirika. Huyo alikuwa kwenye mfadhaiko na mshituko mkubwa. Alionekana wazi kama ana shinikizo fulani ktk kufanya maamuzi yale.
Hii ni ishara ya kitu hatari kwa CCM na chema sana kwa CHADEMA kina Freeman Mbowe na Tundu Lissu. CCM hakuko shwari. Serikalini hakuko shwari.!!
Cha msingi tumejua baadhi ya tunayofanyiwa waTz na viongozi hata kama kupitia kinyume na utaratibu. Unachotujulisha ni kwamba hizo taratibu, kwa manufaa ya mafisadi, zinazuia upatikanaji wa taarifa muhimu tunazohitaji. Kupata viambatisho alivotumia Mpina ni kutokana na wazalendo waliochoshwa na maufisadi yao. Kukosekana wapinzani bungeni, ndo hayo xaxa.Atafunzwa kufuata utaratibu.
Na wewe bibi umechoka! Hizi documents ni za uongo? Sema alikosea tu kumwaga mtama lakini kwenye ushahidi jamaa yuko vizuri!liouleta ni uongo mtupu, ungekuwa siyo uongo angesubiri Spika aupitie, kilichomfanya azikiuke kanuni za bunge ni nini?
Unamaanisha ana mtandao wa kihalifu?
Hakina wajinga ndiyo waliwao.
👍✅✅Mpina toka atemeshwe uwaziri anaonesha uhalisia wake, ni mbaguzi, na simply ni sukuma gang tu.
Wana mbunye kubwa sanaNikihitaji kuoa nitaoa mwanamke slim kama Mange,wanawake wembamba warefu ni mali
Wala hajakosea kuzimwaga,nia ni watanzania wajue kweli yote ili wawe huru kufanya maamuzi. Kwa kawaida taarifa kama hizi huwa zinachakachuliwa ili kulinda dola.Na wewe bibi umechoka! Hizi documents ni za uongo? Sema alikosea tu kumwaga mtama lakini kwenye ushahidi jamaa yuko vizuri!
Yana ukwel haya chief?? Au nikautafute mwenyewe????Wana mbunye kubwa sana
Kautafute mkuuYana ukwel haya chief?? Au nikautafute mwenyewe????
CDM lnaingiaje kwenye mambo ya Bashe na mbunge wao- ccm vs.ccm? Au ni vile Mpina kafunua kombe mwanaharam kajulikana? Au unaamini ktk "acha wafu wazike wafu wao!". Ndo waTz wajue kw nn nchi haipigi maendeleo ya watu wake ...nkHuko chadema kwenyewe si shwari
Hadithi za ulela ulelaIla pia msishangae kwa kile kitatokea baada ya mzalendo huyu zibwa mdomo. Bunge halitobaki kama lilivyokuwa na cheche zitakazo lipuka nje yakitalu zitaiacha jamuhuri ya wana kusadikika ktk maumivu makalu.