Sina nia yakubeza au sema vibaya ila kwa sasa ni dhahiri shahiri kiongozi wetu anashauriwa vibaya.
Tanguy kuwepo Tz...
Walamba asali mitano tena ila hawajuwi kile kitatokea.. mitano tena jamani
Mkuu
TumainiEl , kwanza naunga mkono hoja, rais wetu ni kweli kabisa, kuna vitu vingi tuu anashauriwa vibaya kwenye baadhi ya maeneo, kwa vile na yeye sio malaika ajue kila kitu, nashauri ukiona rais ameshauriwa vibaya kwenye eneo fulani,
1. Hatua ya kwanza ni funguka kuwa hapa kwenye hili, Rais wetu unadanganywa.
2. Onyesha jinsi anavyoshauriwa vibaya.
3. Toa ushauri kwa ku suggest the right thing to do
4. Taja madhara au matokeo ya rais kuendelea na kuupokea ushauri huo mbaya na kutaja the consequences za rais wetu kupuuza solution yako to the problem.
Ili muda wa kumtathimini ukifika, tumpime kwa matokeo chanya, zikitokea zile consequences za kupuuza solution yako to the problem, then tunakuwa hatuna jinsi ni kumtundika tuu msalabani, kwasababu there will be no excuse kuwa alishauriwa vibaya kwasababu aliambiwa, akashauriwa the right thing, akapuuza, hivyo ni lazima tuu aubebe huo msalaba.
Tupunguze kulalamika kuwa rais anashauriwa vibaya, tuonyeshe hapo anaposhauriwa vibaya, ili na yeye apaone, tutoe ushauri wa the right thing to do, kisha tumuachie mwenyewe kuamua, kisha tuje kumhukumu kwa matokeo.
P