Jicho langu la kushoto, limepoteza 50% ya kuona.

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumwona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la dawa, ila ni dawa za vitamini.
Nilitumia ila sikuona tofauti yoyote. Jicho lenyewe halina maumivu kabisa.

Niseme tu kwa sasa ni kama natumia hicho moja kuona na kuangalia. Jicho lenyewe linaona kama hivi..


Msaada, kwa ushauri na matibabu pia.
 
Pole sana Jaman[emoji24][emoji24][emoji24] kwa mtihan huo mzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…