TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka!
Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na kundi linalojiita G55. Nionavyo Mimi hawa ni VIVURUGE tu!
Nasema ni VIVURUGE Kwa sababu Kwanza ata Hilo Jina G55 halikuhusika na migogoro ya chama, pengine wakati Marehemu Mzee Njelwa Kasaka na wenziwe wanaunda Original G55 wengine nyie mlikuwa mnapenga makamasi puani! Mlikuwa hamjui lolote, yaani Mlikuwa watoto!
Hii 'VIVURUGE' yaani 'fake g55' Wana ajenda ya kutuvuruga Tu au Labda nami napata mashaka naanza kuamini kwamba kuna biashara wanayoifanya kwenye uchaguzi. Kwani akuhitaji IQ kubwa wala kuelewa Hilo.
Ni Ajabu Kwa watu ambao hatukuwepo na wala hatumo humo NI wananchi Tu WA kawaida haijatuchukua muda kuelewa hayo mabadiliko yanayodaiwa SEMBUSE ninyi ambao ndio mliyaona mapema na kuamua kuyaweka bayana mbele ya kadamnasi alafu Leo mnageuka nyuma, msitufanye Sisi matahira! Haya mambo mngemalizana mapema huko huko kwenye vikao vyenu vya ndani, nasi huku msingetufumbua macho!
AKILI ZA KUKU:
Natanguliza akili za hawa VIVURUGE na Akili za kuku, seriously! Tuliosoma Sayansi, kuna Usemi, 'kabla ya kutoka jibu Fanya tafiti Kwanza!' Akili za kuku, chukua punje za mahindi au mchele, mwaga chini kwenye kuku, lazima kuku atakimbilia na kuanza Kula, hapo wewe chukua fimbo mtandike huyo kuku na kumfukuza, ata Kama ameumia Hajafa, kuku huyo huyo atakaa Kwa muda mchache Tu, anakuwa amesahau kipigo utamuona anarudi tena palepale alipogigwa na atachukuwa mkong'oto mwingine tena! Na zoezi litakua Hilo Hilo adi afe au siku ipite au uondoe hizo punje.
Lisemwalo lipo kwamba kuna biashara uwa mnaifanya, Hilo Labda, sasa mseme Tu! Aingii akilini ata Kwa Mtoto mdogo 'under 14' arudie kufanya kitu ambacho kila akifanya anafeli, mfano Kama Una Mtoto mdogo mnunulie keki mwekee juu urefu ambao hafikii alafu mwambie arukie achukue, atakuambia sifikii, na ataachana nayo, hapo Mtoto atakuomba uishushe size yake ili aichukue.
Natoa mifano hii Kama Marehemu Mwalimu Donati aliyenifundisha kusoma na kuandika, Mgulani primary school.
VIVURUGE mnaelewa kila kitu ila ninyi mnakitu mnatuficha mnachokitaka!
USHAURI KWA CHADEMA NA 'VIVURUGE ' Wao:
1-VIVURUGE: Kama mnaona CHADEMA wanawazengua na mkiwa na AKILI TIMAMU NI Bora kukaa pembeni, yaani ONDOKENI CHADEMA aidha mkaanzishe chenu au mkajiunge na vyama vingine ambayo mnaendana kiitikadi, kwani wengi wanafanya hivyo, mfano ulio hai ni Msigwa, mbona aliondoka pasipo na vurugu! Msigwa NI mtu anajielewa, kwani mnafikiri wakati Msigwa hakuridhika na matokeo mnadhani angeamua kuanzisha Uasi Kama VIVURUGE unafikiri angekosa kundi la kumuunga mkono? Acheni hizo!
Pili VIVURUGE eleweni CHADEMA sio Baba wala mama yenu hameni! Baba au mama Huwezi mkataa NI damu! Chama NI watu wanaorandama itikafi moja, ukiona unatofautiana nayo ondoka! Unalazimisha nini kukaa, mwisho mnavuana nguo mbele ya kadamnasi! Hatimae mnatoleana Siri za familia, ya nini yote haya! Hameni, anzisheni chama chenu mkiwa na Sera nzuri mtawapata wanachama!
Labda hamjawai kuona au kusikia tusiwahukumu bure Labda wengi wenu NI watoto hamjawai kusikia watu waliowahi kuhama chama Kwa kutoridhika na vyama vyao Kwa uchache NI ;
Wazee Mtei, Bob Makani kutoka CCM na kuanzisha CHADEMA, Mzee Frederick Sumaye kutoka CCM kwenda Chadema, Membe kutoka CCM kwenda ACT, Edward Lowasa CCM kwenda Chadema na Lijuakali Chadema kwenda CCM na wengine wengi Tu, nimategemeo yetu wapenda Amani nanyi VIVURUGE mtaungana kuondoka kufuatia chama mtakachorandana nacho msituvuruge vichwa!
2-VIONGOZI WA CHADEMA:
Nawashauri mchukue maamuzi mapema Kuhusu hawa VIVURUGE la sivyo tusubiri sarakasi.
Nimetoa mfano kufananisha na bodi ya ligi kwenye sakata la kuahirisha mechi, Kwa sababu Wao ndio waliahirisha mechi hawakuwa na sababu ya kuogopa kutangaza tarehe nyingine ya mechi, lakini kinachoendelea washabiki WA mpira tunakiona! Nasema hawa VIVURUGE mnawaona na kinachoendelea mnakiona, waswahili wanasema ' mchelea mwana kulia, hulia yeye!' Katiba mnayo, nanyi viongozi msituvuruge malizeni huu Uasi mambo mengine yasonge mbele!
'Birds of same feathers fly together! Ndege wanaofanana uruka Kwa pamoja! Tchao!