Jicho/macho kutetemeka

Jicho/macho kutetemeka

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Habari wana Jf.

Heb wataalamu wa macho wanijuze,kuwa eti macho au jicho kutetemeka kwa muda mfupi na kujirudiarudia,huwa inasababishwa na nini?
Karibuni...
 
Back
Top Bottom