Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Worse still, they revealed her face, full name and where she lives and the fact that she lives with her parents....Nimeipenda hiyo analysis, japo sikufurahi hapo wamemuanika huyo demu ambaye anaonekana alikua mpango wa kando wa jamaa.
Huyu jamaa kilichomponza nafikiri ni sakata la Eurobond, ila sielewi mbona bilionea kama yeye asingesafiri wakati wote na walinzi.
Hawawezi tena kumuua angalia alivyochambua ya Mpendwa wangu George Saitoti,nadhani watu wakaribu sana Wa nchi yao wanamlinda sana,hakuna series zuri kwa Africa kama ya Huyu jamaa,Hii jicho pevu naikubali sana, jamaa wasije kumuua tu.
She might be part of the assasin,listen the way she is comfortable with the conversation,she's not feeling sorry with the killing.Worse still, they revealed her face, full name and where she lives and the fact that she lives with her parents....
She might be part of the assasin,listen the way she is comfortable with the conversation,she's not feeling sorry with the killing.
hiv hiki kipind kipo saa ngap na bado anakiongoza mohamed allyHawawezi tena kumuua angalia alivyochambua ya Mpendwa wangu George Saitoti,nadhani watu wakaribu sana Wa nchi yao wanamlinda sana,hakuna series zuri kwa Africa kama ya Huyu jamaa,
Nimeipenda hiyo analysis, japo sikufurahi hapo wamemuanika huyo demu ambaye anaonekana alikua mpango wa kando wa jamaa.
Huyu jamaa kilichomponza nafikiri ni sakata la Eurobond, ila sielewi mbona bilionea kama yeye asingesafiri wakati wote na walinzi.
For sure,but still the question stand,how comes Mr Juma travelled from town center where he left the girl to the assasin spot for only 5minutes?The girl sounds devastated, broken and very very afraid. She was just some "mchepuko/nyumba ndogo or mpango wa kando" who got caught up at the wrong time and wrong place. The guy is said to have had some insatiable appetite for beauties. During his burial, some women paraded different kids even one from as far as Tanzania.
I don't understand why Jicho Pevu are so willing to display her face, but not doing the same to other people involved in the story, like that of the taxi driver.
Following the analysis by Ali, it's evident he was killed due to his involvement in Eurobond saga, he had plans to meet some Western diplomat to spill the beans. Also was to meet the leader of opposition Raila.
Natamani tupate waandishi Watanzania wa kaliba ya huyu jamaa wa jicho pevu!!
Mwendazake maana yake nini?
Really, doesnt she seem anguished to u?She might be part of the assasin,listen the way she is comfortable with the conversation,she's not feeling sorry with the killing.