Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma

Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma

Tatizo sio Muro....je ni kituo gani cha TV kipo tayari kurusha kipindi kama hicho.

Muro amenukuliwa Mara nyingi kuwa yeye yupo tayari hata leo ila tatizo ni wamilikiwa wa vituo vya TV.....humwambia hawataki matatizo Na serikali.!


ndo ubaya kila mtu anataka.atajirike kupitia serikal hakuna alie jasiri
 
jamani jicho pevu ni ya wapi? na huyo mwandishi ni wa wapi?,
 
natamani huyo jamaa wa jicho pevu akuje hapa tz ili nione kama ataweza kuifanya kazi yake vema
 
Atamwagiwa tindikali maana huku kuna miungu watu hawataki kukosolewa kbs.
 
Back
Top Bottom