jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Kwa tz itakuwa ngumu kidogo, maana jamaa mmoja hivi nahisi hv sasa n msemaje wa timu ya wasukuma gozi tz alianza na investigation story kwa traffic wala rushwa but nini kilimtokea?Natamani tupate waandishi Watanzania wa kaliba ya huyu jamaa wa jicho pevu!!
jerry muro walimzima km mshumaa unadhan kuna mwingine atathubutu
Tatizo sio Muro....je ni kituo gani cha TV kipo tayari kurusha kipindi kama hicho.
Muro amenukuliwa Mara nyingi kuwa yeye yupo tayari hata leo ila tatizo ni wamilikiwa wa vituo vya TV.....humwambia hawataki matatizo Na serikali.!
Kenyajamani jicho pevu ni ya wapi? na huyo mwandishi ni wa wapi?,
tz ni ngumu hao jamaa nahisi wanafadhiliwa na mtu maana wanatoa pesa sana hadi kwenda nje ya kenya kusaka ushahidKwa tz itakuwa ngumu kidogo, maana jamaa mmoja hivi nahisi hv sasa n msemaje wa timu ya wasukuma gozi tz alianza na investigation story kwa traffic wala rushwa but nini kilimtokea?