Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.

Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.

Imeisha hiyo...!!!
 
Umeandika kiwoga sana huu uzi,coz unajua vyema yanga ugeninii wanakuwaga vp
 
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.

Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.

Imeisha hiyo...!!!
Dishi kweli limeyumba, vitoto vilivyoanza kuangalia mpira miaka ya 2010 havina akili kabisa.

Ndiyomaana mnakufa kufa uwanjani kijinga kwa kuingia na matokeo ya kukariri.

Mpira utatuheshimisha TZ June 03/2023 kwa Yanga kushinda 2-0 mbele Mwarabu wenu huyo, nimekaa pale [emoji117][emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.

Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.

Imeisha hiyo...!!!
Kaa Pale Pembeni Hakuna Wa Kukufanya Lolote, Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu
 
Wanaweza wakamfunga 1 bila ila wakaishia kuchungulia wenzao wakinyanyua kwapa
 
Mtani wangu poti hawa uto wataweza kweli kushinda bao mbili mtungi?
Ila tuseme ukweli aliemtapeli gharib mtashinda taifa hongera yake 🤣
 
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.

Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.

Imeisha hiyo...!!!
15% bado ni kubwa sana hiyo kwenye football. Hata kama ingekuwa 99% kwa 1% bado hatukati tamaa mpaka iwe 100% kwa 0%.
 
Mbona nikiwa naanzisha Nyuzi ( Threads ) za Kuisifia Yanga SC yako na Kuisema Simba SC yangu huwa hunifananishi na Wachambuzi wa Kibongo usiowapenda?

Huna Akili.
Unataka uonekane unajua soka na mtabiri mzuri wakati sio.
 
[emoji2958]
images.jpg
 
GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwanie najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.

Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Sasa hasira za nini wakati huo ndio ukweli?Wewe ni mtu wa kuangalia upepo tu huna lolote.
 
GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwani najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.

Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Hahahaaa!!

Back
Top Bottom