GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umeandika kiwoga sana huu uzi,coz unajua vyema yanga ugeninii wanakuwaga vpNawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.
Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.
Imeisha hiyo...!!!
Dishi kweli limeyumba, vitoto vilivyoanza kuangalia mpira miaka ya 2010 havina akili kabisa.Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.
Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.
Imeisha hiyo...!!!
Kaa Pale Pembeni Hakuna Wa Kukufanya Lolote, Msemakweli Ni Mpenzi Wa MunguNawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.
Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.
Imeisha hiyo...!!!
Leo tumeona watu wanaojua soka na wanamipango, hawana papara.Wanaweza wakamfunga 1 bila ila wakaishia kuchungulia wenzao wakinyanyua kwapa
Wanacheza kwa malengo, tena washukru Diarra aliamka vizuri vinginevyo hali ingekuwa tete sanaLeo tumeona watu wanaojua soka na wanamipango, hawana papara.
tumeiona timu yao bila mayele ni kikundi ch wahuni tu.Wanacheza kwa malengo, tena washukru Diarra aliamka vizuri vinginevyo hali ingekuwa tete sana
15% bado ni kubwa sana hiyo kwenye football. Hata kama ingekuwa 99% kwa 1% bado hatukati tamaa mpaka iwe 100% kwa 0%.Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.
Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023.
Imeisha hiyo...!!!
Tumekuzoe.tumeiona timu yao bila mayele ni kikundi ch wahuni tu.
Unataka uonekane unajua soka na mtabiri mzuri wakati sio.Mbona nikiwa naanzisha Nyuzi ( Threads ) za Kuisifia Yanga SC yako na Kuisema Simba SC yangu huwa hunifananishi na Wachambuzi wa Kibongo usiowapenda?
Huna Akili.
Haki ya MTU haipotei..inacheleweshwa tu..dhulumatiLaana yake imeanza Kuwagharinu Watu.
Sasa hasira za nini wakati huo ndio ukweli?Wewe ni mtu wa kuangalia upepo tu huna lolote.GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwanie najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.
Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Hahahaaa!!GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na hata mwaka huu likiwepo na nikiwa Nominated tu andika Maumivu kwani najiamini kwa Baraka Kubwa za Mwenyezi Mungu na Kipaji nilichonacho na Mvuto wa Kipekee na Uwasilishaji wangu nitashinda tu tena.
Tena ikiwezekana wanishindanishe na Juha ( Fool ) Wewe ili nikushinde huku ukijiona sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!