Jidanganyeni mlivyomuokota leo Toto Africans Mwanza kwa Kuwahonga muwafunge Goli nyingi ndiyo itakuwa kwa Zesco United Jumamosi

Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
Tulia dawa ikuingie mpaka Toto anashuka daraja ulikuwa hufurukuti, ila ni wivu tu unakusumbua tunajua huu wivu tatizo UD SONGO alikuchomolea betri
 
Je huyu mzima kweli?
 
Yanga hawawezi kupoteza muda kujadiliana na timu za mchangani kama Simba. Simba timu yenye uzoefu wa kutolewa mapema hata kwenye FA, Green worriors wanajipigia, Mashujaa wanajipigia, UD Songo wanajipigia, loo!
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
 
Pesa ya kuhonga wameitoa wapi, hii timu kila siku tunaambiwa hawana pesa ni ombaomba

Kwani umeambiwa kuwa mpaka leo hii Yanga SC bado ni ile ile ya ' Umasikini ' mwingi? Mwenyekiti wenu Msomi alishasema kuwa Benki sasa mna kama Tsh Bilioni 3 hivi au humuamini Ndugu?
 
Mbumbumbu bana.Ya UD songo yaliwashinda zesco tunawachapa palepale Mwanawasa stadium ndola

Thubutu huna Ubavu huo Ndugu. Zesco United siyo Toto Africans ambao leo umewahonga ili muwafunge Goli nyingi ili Kuwahadaa Mashabiki wenu wakati Ukweli ni kwamba Uwezo wenu ni mdogo sana na Timu yenu bado ' Chemistry ' yake haijakubali ila huwa nawashangaa mno Yanga SC mnavyojidanganya na Kujipa Moyo.
 
UD Songo oyeeeeeee
Wamehonga na wameshinda nadhani Goli 3 kwa 0 ila hata ukisikia wameshinda Goli 5 usishangae. Mambo yote Jumamosi na Simba SC wote tunaishangilia Zesco United tu Kudadadeki.
 
Ooh Rollers hawafungwi kwao wakala cha nguruwe..ooh Zesco hafungwi kwao anapigwa home and away...#timukipensi
 
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani Wanachama na Mashabiki wao ili wajae Uwanjani kwa Mkapa Jumamosi wapige Hela na pia kama vile kuwatishia Zesco United kuwa Yanga SC wako vizuri wakati ukweli ni kwamba Yanga SC Kiufundi bado haiko vizuri kabisa.

Mwanasimba yoyote popote pale ulipo nunua Jezi yako ya Zesco United mapema na Jumamosi tukutane kwa Mkapa Kuishangalia Zesco United. Simba SC kuwashangilia Yanga SC / Kuishangilia Yanga SC ni sawa sawa na Kujinajisi Sisi wenyewe.

Kwa mwana Yanga SC mwenye Akili na anayejua Mpira wala hawezi Kushangilia Ushindi wa ' Kuachiwa ' wa leo dhidi ya Toto Africans kwani tunajua ya kwamba ni Ushindi wa Kimkakati zaidi ( Kibiashara ) ili Kuwahadaa wana Yanga SC ambao kwa bahati mbaya wengi wao ni wale wale wa ' Akili za Kipa Katoka ' tupu ili waiamini Timu yao na Jumamosi Wajazane Uwanjani kwa Mkapa Timu ipate Kipato Kikubwa wakati tulioitizama kwa Jicho la Kiufundi Yanga SC bado haijakamilka hasa hasa katika Idara yake ya Kiungo Ushambuliaji, Namba Tisa na Kumi na hata Beki wa Kushoto na kwa jinsi ninavyowajua Wazambia hasa hawa Zesco United watapita huko huko ambapo Yule Mshambuliaji wao Hatari aitwae Kapumbu basi Jumamosi ' atawapumbua ' kweli Watu pale Taifa na tutatafutana kama si kuanza pia Kuchapana Bakora.

Naiombea Laana mbaya sana Toto Africans na Mwanza Timu bora ni Mbao FC peke yake na labda Kidogo hao sijui Alliance FC.
Nimefuatilia sana mashabiki wa simba sc wengi wao wana lugha chafu na hawana staha na hawana muda wa kuafakari mawndeleo ya nchi ila wao ni kutukana Yanga tu!
Inasikitisha!
 
kwa hiyo Yanga ikifungwa Simba ndio tutakuwa tumetimiza malengo yetu ya kufika nusu fainali ya klabu bingwa Afrika
timu iliyofika robo fainali inawafyeka wachezaji wake woote na kuleta wengine wapya kweli this is SIMBA
 
Back
Top Bottom