Jide ahamia Ujerumani


Hayajawahi kukuta ww ndugu mtu kujitenga na kuwa mbali kunamsaidia coz wabongo baadhi yetu tuna roho mbaya sna kili kukicha majungu na kufurahia matatizo ya wenzetu! Namuunga mkono Jide kaa mbali na wanafiki na wasiopenda kuona mtu akipata, wakt wa raha kila mtu ni rafiki yakikukuta wanakukimbia na kukusengenya kajipumzishe Jide na jipange kivingine
 
mtu anaishi hotelini ujerumani mnasema amefulia? mnajua gharama za kuishi kwenye hoteli ujerumani? labda awe anadanganya
Hotelini my foot. Labda anakaa kwenye bed & breakfast anasema hotelini. Maana wabongo hata kwa mama ntilie wanaita hoteli
 
Vipi, kama ni mwanaume mwenzangu maana yake nimponde au humu wote wanaosifiana ni wa jinsia tofauti ukiwa ni wa jinsia moja haurusiwi ?????
Mnasifu mnooo!
Unajua mno!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…