Mmasai orgn
Member
- Dec 21, 2015
- 33
- 22
Diamond angeshakimbia we sema anayempenda (wema) yuko hapa TZ kwa hiyo kijana wa Tandale hawezi toroka. Nikirudi kwa huyo Jide ni kuwa kwa sasa ana mawazo sana hivyo watu wake wa karibu wajitahidi kumfariji. Maumivu ya kuachwa/kuacha/kuachana/kuachanishwa ni makali sana hayana mfano.
Hayajawahi kukuta ww ndugu mtu kujitenga na kuwa mbali kunamsaidia coz wabongo baadhi yetu tuna roho mbaya sna kili kukicha majungu na kufurahia matatizo ya wenzetu! Namuunga mkono Jide kaa mbali na wanafiki na wasiopenda kuona mtu akipata, wakt wa raha kila mtu ni rafiki yakikukuta wanakukimbia na kukusengenya kajipumzishe Jide na jipange kivingine