Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu hili,kumbe jide ndiye msanii pekee apa bongo mwenye mkwanja mrefu kuliko msanii yeyote ndiyo maana analeta dhara
u hadi kufikia hatua ya kuwatukana wanaume na kuwakashfu,juhudi za dhati zinahitajika ili muondokane na hii aibu,fanyeni kazi kwa bidii,acheni starehe zisizokuwa na maana,hawa ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja apa bongo
1.LADY JAYDEE
2.DIAMOND
3.AY
4.PROF JAY
5.JUMA NATURE
Kwa mtindo huu msiitwe mwanafatuma mchezo
SOURCE😀J SEK BLOG
1.LADY JAYDEE
2.DIAMOND
3.AY
4.PROF JAY
5.JUMA NATURE
Kwa mtindo huu msiitwe mwanafatuma mchezo
SOURCE😀J SEK BLOG