Jide aongoza kwa Diamond na Prof Jay

Jide aongoza kwa Diamond na Prof Jay

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu hili,kumbe jide ndiye msanii pekee apa bongo mwenye mkwanja mrefu kuliko msanii yeyote ndiyo maana analeta dhara uploadfromtaptalk1371109250244.jpgu hadi kufikia hatua ya kuwatukana wanaume na kuwakashfu,juhudi za dhati zinahitajika ili muondokane na hii aibu,fanyeni kazi kwa bidii,acheni starehe zisizokuwa na maana,hawa ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja apa bongo
1.LADY JAYDEE
2.DIAMOND
3.AY
4.PROF JAY
5.JUMA NATURE
Kwa mtindo huu msiitwe mwanafatuma mchezo
SOURCE😀J SEK BLOG
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371109268242.jpg
    uploadfromtaptalk1371109268242.jpg
    11.6 KB · Views: 579
  • uploadfromtaptalk1371109291338.jpg
    uploadfromtaptalk1371109291338.jpg
    20.1 KB · Views: 518
  • uploadfromtaptalk1371109306962.jpg
    uploadfromtaptalk1371109306962.jpg
    25.9 KB · Views: 529
Ndio tatizo la Serikali yetu mitoto mijinga isiyokuwa na akili kama huyu mleta thread inapata zero halafu serikali haiyamini kama haya matoto hayana akili.
 
Kama wana mambo ya hovyo ni lazima watadharauliwa
 
clouds mnatapatapa sana. fleva unit hamna pa kushika, nyumba yenu mumejenga kwa ukuta wa biskuti, mnamung'unyika. Tafuteni namna nyingine ya kumchafua jide. hivi kwa jinsi clouds media mnavyojua kutengenezea watu bifu angekua amewakashifu si mungeandika hiyo kashifa na kuongezea maneno?. hahahaaa...!!!. pole sana!. mia
 
mzee yussuph utamuweka wapi?
Au yule hayupo bongo?hao wote ujiowataja watasubiri sana kwa alamba alamba tena aaaamu
 
We ume2mwa na clouds nn

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mada yako ina matege halafu ina makengeza ila nitachangia kwa faida ya Jide na hao wengine
Jide atakuwa mpumbavu mno akikubali hizi sifa za kijinga mitandaoni na kwingineko inawezekana kabisa akawa anaongoza bongo kwa utajiri lakini aangalie mbele zaidi kuwa enzi zake zikiisha atabaki na nini? Pia ajilinganishe na wasanii wengine wa Afrika mashariki kwanza baadae Afrika yote na mwishowe dunianzima atajikuta hana kitu kabisa Kwa hiyo bado safari ni ndefu Hapa kwetu
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wana miliki vitega uchumi kama
majumba ya ghorofa migodi hisa kwenye makampuni ya kimataifa nk nk
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii mwenye kumiliki boti na magari ya kifahari na mkwanja uliotulia bank usiopungua dola million hamsini na ushee
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wanajulikana kimataifa na hata show zao zinakuwa bab kubwa na ghali huko ughaibuni
Tunataka Siku moja tuwe na wasanii ambao wasanii wa kimataifa wanawafuata kufanya nao featuring
 
Hii inaweza kuwa aibu nyingine kwa upande wa wasanii wa bongo fleva,na ndio maana mnadharauliwa na watoto wa kike na kuitwa majina ya ajabu kama hayo ya mwanafatuma,nimekaa nikawaza nikapata jibu hili,kumbe jide ndiye msanii pekee apa bongo mwenye mkwanja mrefu kuliko msanii yeyote ndiyo maana analeta dharaView attachment 97392u hadi kufikia hatua ya kuwatukana wanaume na kuwakashfu,juhudi za dhati zinahitajika ili muondokane na hii aibu,fanyeni kazi kwa bidii,acheni starehe zisizokuwa na maana,hawa ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja apa bongo
1.LADY JAYDEE
2.DIAMOND
3.AY
4.PROF JAY
5.JUMA NATURE
Kwa mtindo huu msiitwe mwanafatuma mchezo
SOURCE😀J SEK BLOG

Siajelewa mada inahusu nn pleaz,fafanua
 
Serikali katika bajeti yake ya mwaka 2013 - 2014 imeongeza kodi kwenye Viroba kutokana na wanywaji wake wengi wamechangia pato la taifa mwaka 2012 - 2013
 
Mada yako ina matege halafu ina makengeza ila nitachangia kwa faida ya Jide na hao wengine
Jide atakuwa mpumbavu mno akikubali hizi sifa za kijinga mitandaoni na kwingineko inawezekana kabisa akawa anaongoza bongo kwa utajiri lakini aangalie mbele zaidi kuwa enzi zake zikiisha atabaki na nini? Pia ajilinganishe na wasanii wengine wa Afrika mashariki kwanza baadae Afrika yote na mwishowe dunianzima atajikuta hana kitu kabisa Kwa hiyo bado safari ni ndefu Hapa kwetu
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wana miliki vitega uchumi kama
majumba ya ghorofa migodi hisa kwenye makampuni ya kimataifa nk nk
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii mwenye kumiliki boti na magari ya kifahari na mkwanja uliotulia bank usiopungua dola million hamsini na ushee
Tunatamani kuona Siku moja tuna wasanii ambazo wanajulikana kimataifa na hata show zao zinakuwa bab kubwa na ghali huko ughaibuni
Tunataka Siku moja tuwe na wasanii ambao wasanii wa kimataifa wanawafuata kufanya nao featuring

Kama jide ndo anaongoza kwa mkwanja unadhani watafikia uo ubilionea leo??,sijui ata nn kifanyike,ni vizur wasanii wangeenda kwa jide awape mbinu chache walau hata wasogee kidogo kweny level yake maana ni aibu demu kuwaburuza ma men ndo maana wanaitwa ma fatuma
 
Ndio tatizo la Serikali yetu mitoto mijinga isiyokuwa na akili kama huyu mleta thread inapata zero halafu serikali haiyamini kama haya matoto hayana akili.

Hayo maneno ya kashfa unayoandika ungejisikiaje mtu angekwambia hivyo???,hata mimi nina maneno ya shombo zaidi yako,kama mada kwako kero pita kwa amani
 
1. MwanaFatuma
2. MwanaAsha
3. MwanaIsha
4. MwanaIdi
5. MwanaFa

Wanaongoza kwa umbea na majungu
 
Back
Top Bottom