princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Hahahah kunywa soda kwa bill yakoKama vyuma vimekaza lazima uzeeke, Jide lainiiiiii kama mafuta
Huko kuingia leba vp unaongeaje vitu vya hali ya chiniAtazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Daah watu mna matusi[emoji19] [emoji19]Atazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Alipokua na mimba ushawahi muona?? rejea video ya single boy single girl!! just FYI..baada ya IVF..acha kejeliAtazeeka vipi hajaingia Labor...!?
Kwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?Huko kuingia leba vp unaongeaje vitu vya hali ya chini
Azae aone atakavyokongoroka!
Alikuwaga na mimba? Sorry!Alipokua na mimba ushawahi muona?? rejea video ya single boy single girl!! just FYI..baada ya IVF..acha kejeli
Kuzaa so kuzeeka shida ndo zinazeeshaKwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?
Mimba ni ushahid wa kufanya ngonoKwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?
Jide anazeeka Moyo kwa wingi wa Simanzi na Masimango...!Kuzaa so kuzeeka shida ndo zinazeesha
not funny.Atazeeka vipi hajaingia Labor...!?