Jide hazeeki jamani

Jide hazeeki jamani

Kwa vipi...? Kwani hujui kuchoka (kuchuja) ama kuchakaa kwa dada/mama zetu ni pamoja na Matokeo ya kubeba ujauzito kisha kuzaa..?
Sio kweli j lo amezaa tena mapacha ila ukimuangalia bado mpyaaaa zingine njaa tu, mpeni jide heshima yake she is a survivor tafuta generation yake uwaone!
 
We labda umemjua jana. 1999 alikuwa kimbaumbau huyo.

Halafu heshi jicho pembe kuniibia.
 
Kwani kuingia leba ndo kuzeeka?
Zari kaingia mara tano yupo hot, Hamisa mara mbili yupo hot, wema hajaingia hata mara moja kachoka kazeeka imebaki nguvu ya make up

hahahaha wema jaman kila mahali ni mawe tu yanatupwa
 
Back
Top Bottom