Jide kafunika mbaya ukumbi ulikuwa mdogo

Hongereni mashabiki kwa support mliompa Jidee..!
 
hahahaahahah inabidi nicheke soon tutaipoteza hiyo clouds FM sooon tutaipoteza watu weshajua ukweli mtupu.sasa nyie wasanioii mnaonyonywa njia nyeupe sasa wakongwe weshafungua nakukata mizizi ya wanyonyaji ruge na kusaga heheeheh kama ni mie ningekula inye yangu walahi
 
Mukubwa tuwekee picha na za shoo ya MwanaFA ambayo inaonyesha eneo kubwaa kama hizo za lady jaydee.
 
Kwa nia njema Clouds itabidi wafate upepo unakovuma.Watu wengi wamechukizwa na kiburi chao.
Biashara yao inategemea public lazima wajifunze adabu kwa public pia.
 
Nilidhani Kumtetea Jide Kungeishia kwenye Maneno tu!!! Stay alive Jide & Congratulation. Mbio za kupokezana vijiti ni Principal ya clouds wasitake kukukatisha tamaa as if wao ndo uma wa watanzania.
WebRep

Overall rating




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…