Hater....
I made a general statement.
If you are aeeing hate, it is quite possible you are projecting your hate towards others.
Since that is the only prism you can see through.
Hater..
kiboko yao ilikuwa shoo ya wasanii wa clouds jide angealikwa vipi?
Ndo unavyowadanganya wenzako huko?
Show ilandaliwa na tigo na Eatv radio/TV.
Unamjua mc alikuwa nani?
Hivi huyo mama bado anaimba siku hizi? Je ana nyimbo gani mpya? Au kaishiwa mipasho? Make siku hizi naona kabaki kujifariji na picha za instagram...
Shuhuda hiziiiiii
Sijui kama mkiambiwa mthibitishe mnaweza....
Ila MOG imedorora mno....nimeenda sana kutoa support lakini pana boa ....inabidi afanye upya promo ya nguvu....
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.
Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....
noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.
Kwenye picha hiyo ameandika:
Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa
Niite Songa,One Incredible na Nikki Mbishi kwanini wasiwe wanakodisha hata bajaji kwenda kwenye mishe zao? Kutembea kwa miguu inakatisha moyo wapenzi wao.
Nilidhani peke yangu nimeona hii kitu. Unajua watu tunapenda sana ushabiki usio na tija lakini ukweli utabaki pale pale kwamba, ili aendelee kuwa kwenye chat, Jide anamuhitaji sana Gadner... the guy is an entertainment born but Jide not... it just happened kuwa mwanamuziki kv amezaliwa na kipaji. Gardner anajua sana ku-interact na watu wenye majina mjini na ndio maana Nyumbani Lounge ilikuwa poa sana... kuna watu kibao walikuwa wanaenda for the sake of Gardner, basi.Ila MOG imedorora mno....nimeenda sana kutoa support lakini pana boa ....inabidi afanye upya promo ya nguvu....
Nilidhani peke yangu nimeona hii kitu. Unajua watu tunapenda sana ushabiki usio na tija lakini ukweli utabaki pale pale kwamba, ili aendelee kuwa kwenye chat, Jide anamuhitaji sana Gadner... the guy is an entertainment born but Jide not... it just happened kuwa mwanamuziki kv amezaliwa na kipaji. Gardner anajua sana ku-interact na watu wenye majina mjini na ndio maana Nyumbani Lounge ilikuwa poa sana... kuna watu kibao walikuwa wanaenda for the sake of Gardner, basi.
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.
Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....
noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.
Kwenye picha hiyo ameandika:
Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa
Mahela yoote uwe nayo ila kuna kitu unakosa yaani kinakufanya uwe mnyonge sana...
Usipotee sana kama chama lako!!
yakhe nilikua Baidoa na mashifta wenzangu
Ukiwa na njaa ni ngumu sana kuwa super star
Watu hawawi na hamu ya kukuona daily wapo na wewe kwenye madaladala na kwenye vipub mshenzi
To be a brand,u need to have cash