Jide: Kazi ya muziki nzuri jamani, Nilitoka kwetu na elfu 6 nikarudi mkoba umejaa, Aringishia pesa

I made a general statement.

If you are aeeing hate, it is quite possible you are projecting your hate towards others.

Since that is the only prism you can see through.

Hater..
 
Shuhuda hiziiiiii

Sijui kama mkiambiwa mthibitishe mnaweza....

We subiri uwe maaarufu ndo utashangaa
watu wanavyo jidai kukujua na kuijua familia yako
kuna watu wanaweza hata kuapa kwa viapo kuwa wewe ni lesbian au unavuta bangi
umaarufu mzigo
 
Ila MOG imedorora mno....nimeenda sana kutoa support lakini pana boa ....inabidi afanye upya promo ya nguvu....

Ile sehemu ni ya watu wastaarabu kaka ake ndo maana zikatengwa,kuna sehemu nyingi zenye fujo kama eagle lounge,meeda na sehemu kama hizo, unasema hapanogi kwa sababu ni kwa jide ila kuna sehemu nyingi za udhunguni hakuna fujo wala mijitu mingi,sometimes its boring
 
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.

Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....

noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “

Niite Songa,One Incredible na Nikki Mbishi kwanini wasiwe wanakodisha hata bajaji kwenda kwenye mishe zao? Kutembea kwa miguu inakatisha moyo wapenzi wao.
 
Last edited by a moderator:

Ukiwa na njaa ni ngumu sana kuwa super star

Watu hawawi na hamu ya kukuona daily wapo na wewe kwenye madaladala na kwenye vipub mshenzi

To be a brand,u need to have cash
 
Ila MOG imedorora mno....nimeenda sana kutoa support lakini pana boa ....inabidi afanye upya promo ya nguvu....
Nilidhani peke yangu nimeona hii kitu. Unajua watu tunapenda sana ushabiki usio na tija lakini ukweli utabaki pale pale kwamba, ili aendelee kuwa kwenye chat, Jide anamuhitaji sana Gadner... the guy is an entertainment born but Jide not... it just happened kuwa mwanamuziki kv amezaliwa na kipaji. Gardner anajua sana ku-interact na watu wenye majina mjini na ndio maana Nyumbani Lounge ilikuwa poa sana... kuna watu kibao walikuwa wanaenda for the sake of Gardner, basi.
 
Siku hizi unaweza kukaa pale peke yako masaa kibao .........labda kuwe na tukio ndio kidogo unaona watu .......nafikiri dada yetu pia anaelewa hili ......afanyie kazi bana .........
 
Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.

Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....

noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “

Mahela yoote uwe nayo ila kuna kitu unakosa yaani kinakufanya uwe mnyonge sana...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom