Jide Komando uso ulivyo mgharimu mamilioni

Jide Komando uso ulivyo mgharimu mamilioni

Huyu ndie star wa ukweli Tanzania anaishi kwake hajapanga kama wengine,
Mme wake ndie ndie wake meneja na sio kama watu wengine
Ana rusha kipindi chake na wala sio kuigiza kama wengiiiiiiiine!
Natumai anamashabiki wengi yawezeka hata wewe pengine.
 
Jide, comando, anaconda, mama some food, wallete, iron lady, super lady, mama wa G kaza buti mama mwanamke mwenzio niko nyuma yako nakuunga mkono ktk kila fanikio lako, ukiona mtu anakusema jua umemzidi kitu, mbona hawanisemi mimi, jua wewe kioo cha jamii wanakuangalia wewe kama r.model wao, mama wakimbize wakina mwana fatuma, yahaya. Gharama za kufika hapo usithubutu mjingamjinga akushushe atakavyo lazima naye agharamike tena zimtoke kwelikweli.
 
...ila hana kabisa mvuto.... yaani MVUTO ZERO hata kuimba siku hizi kwishnei.... ktk wanawake duniani wasio na mvuto JD mmoja wao....mmmmhh...!!
 
Jide hata nikimkuta mtupu kikojoleo changu hakiwezi kusimama
 
hata kama hana mvuto lkn pesa anazotengeneza au kuingiza ni nyingi kuliko huyo demu wako mwenye mvuto.
kikojoleo cha G kinamtosha acha kupiga keleleeee
 
weka picha before and after badala ya kuleta majungu yasiyo na msingi!!!
 
Huyu ndie star wa ukweli Tanzania anaishi kwake hajapanga kama wengine,
Mme wake ndie ndie wake meneja na sio kama watu wengine
Ana rusha kipindi chake na wala sio kuigiza kama wengiiiiiiiine!
Natumai anamashabiki wengi yawezeka hata wewe pengine.

😕😕:confused
Ww lazima utakuwa nilikilaza toka kabla haujazaliwa... Andika mada zenye mashiko hiyo ya komando peleka huko fb ukajadili na mburura wenzako. Hapa sio sehem ya kufanya promo. Blooooooooodfoooooool.
 
Du....!
 
wewe huoni hiyo pesa aliyotoa jide kujiremba kuna mtu anayemiliki hicho kirembeo ameipata, ambapo atamlipa dada yako aliyemremba kama salari, kiasi kinachobaki atamhonga dadako mwingine ambaye atatumia na kiasi fulani atakuchangia mchango wa haruc, au atanunua ki tv ukienda kumsalimia unakuwa unaangalia yahayaa kwa raha zako, pesa nyingine itazunguka na vibaka mtaiiba katika mfumo wa simu, pia SDL, VAT, na kodi kibao zimelipwa hapo
 
...ila hana kabisa mvuto.... yaani MVUTO ZERO hata kuimba siku hizi kwishnei.... ktk wanawake duniani wasio na mvuto JD mmoja wao....mmmmhh...!!

picha yake inaweza kusaidia kupunguza kujichua aka mastabeishen! Lol!
 
Back
Top Bottom