Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaadah yani kweli hakujiandiaa heri asingefanya haya mahojiano
yani broo me nashangaa hadi kucheza nyimbo baada ya kesi kuisha alsema mwenyewe ruksaaa watu wakacheza nyimbo zake xxl leo anakataa.Asee! Kaikataa ile barua yake kabisa, nakumbuka aliuita waraka wa lady jaydee part one, alivyosema anatoa part two ruge akawahi mahakamani ndio wakamzuia. Na katika ule waraka alisema mpaka anakufa hataki kusikia clouds wanacheza nyimbo yake na akifa wasitangaze kifo chake na wasiende msibani. Hivi wakati anaandika lile libarua sijajua alikuwa na frustration gani. Leo anataka kuwatupia clouds lawama kwa kosa lake mwenyewe. Kiukweli nikifuatilia turn back ya rama dee, Ruby nimegundua clouds bado ni msaada wa hawa wasanii japo ndio dampo lao la lawama. Ruby baada ya kuachana na clouds alipauka japo alikuwa anapewa full support ya efm na majizo but walishindwa. Clouds wanajua ni jinsi gani ya kum treat msanii ili wapige pesa.
Nimesikiliza hii interview, yani Jide nimegundua kitu si mkwelii kwa kiasi chake
yani mpaka sauti inatetemeka. Anyway
bro huyu dada alisema mwenyewe nyimbo zipigwe na alohojiwa na millard ...baada ya kushindwa kesinaweza nikawa nipo tofauti na watu wengine mimi Jide nimemwelewa kwa kiasi kikubwa kama Seven alikwenda akazungumza nao nyimbo zipigwe na wao wakagoma kupiga sasa hapo nani mwenye tatizo nasema kutoka moyoni Ruge ni miongoni mwa makaa makubwa yaliyoko duniani.. hii kampeni ya kataa kuwa kaa inamlenga moja kwa moja Ruge mwenyewe
bro huyu dada alisema mwenyewe nyimbo zipigwe na alohojiwa na millard ...baada ya kushindwa kesinaweza nikawa nipo tofauti na watu wengine mimi Jide nimemwelewa kwa kiasi kikubwa kama Seven alikwenda akazungumza nao nyimbo zipigwe na wao wakagoma kupiga sasa hapo nani mwenye tatizo nasema kutoka moyoni Ruge ni miongoni mwa makaa makubwa yaliyoko duniani.. hii kampeni ya kataa kuwa kaa inamlenga moja kwa moja Ruge mwenyewe
sasa nambiye vipi nyimbo zinapigwabro huyu dada alisema mwenyewe nyimbo zipigwe na alohojiwa na millard ...baada ya kushindwa kesi
Mwanamke akiwa ktk stress kuropoka hovyo ndo namna yake ya kuhandle stress, kumuuliza mwanamke mambo ambayo alifanya wkt kavurugwa ni dhahiri hatendewi haki. Nakumbuka show yake moja alikua anaimba huku akitukana pua km nini cjui, nadhan alimlenga Gadner. Me nakua na msimamo kuto yumbishwa nao, lkn huwa cwachukiagi na nawapenda kwakua najua wana weakness. Kuna changamoto kubwa ukibahatika kukutana na boss mwanamke, mama mwenye nyumba, police mwanamke,
au Jambaz mwanamke nk. Mungu katupa wanaume sibra kabla ya kufanya maamuz. Lkn nadhan kutokaa na jambo moyoni mda mrefu na kusahau, kunawasaidia kiafya na huchangia kuishi kwingi.
dah yani kweli hakujiandiaa heri asingefanya haya mahojiano[/QUOTE
Komando Jide kawa komando yoso