Jide mbona unaruka ruka?

Jide mbona unaruka ruka?

Mnigeria wake bado hajampiga asepe walejamaa noma komando mbona kawa mcharo ghafla
 
Kaka na mm ninae mama lkn hyo ndo saikolojia yao, Hawana uwezo wa kuvumilia kitu matokeo yake Hukurupuka bila kufanya maamuzi ya busara. Ushawahi kuwa na boss mwanamke? Wengi huhisi anadharauliwa hata km ni jambo la kawaida. Kwa wanawake wenzie atona wanamuonea wivu, wanaume Wanamdharau. Kutana na askar wa kike labda awe anakijua otheryz! Mwanamke hana ile kupuuzia jambo. Akisikia jirani kaongea Kitu, atachukua kanga atamfuata. So wapo hvyo, hata km unampenda mamaako na mm wangu nampenda pia.
umeongea ukweli nilishawahi kuwa na bosi mwanamke ulichoongea ni sahihi
 
Kaka na mm ninae mama lkn hyo ndo saikolojia yao, Hawana uwezo wa kuvumilia kitu matokeo yake Hukurupuka bila kufanya maamuzi ya busara. Ushawahi kuwa na boss mwanamke? Wengi huhisi anadharauliwa hata km ni jambo la kawaida. Kwa wanawake wenzie atona wanamuonea wivu, wanaume Wanamdharau. Kutana na askar wa kike labda awe anakijua otheryz! Mwanamke hana ile kupuuzia jambo. Akisikia jirani kaongea Kitu, atachukua kanga atamfuata. So wapo hvyo, hata km unampenda mamaako na mm wangu nampenda pia.

Bro inawezekan ni changamoto unazozipita katika wanawake unaowajua nakiri kweli kuna wanawake kama hao..ila kuna mtu ana huruma kama mwanamke? Jiulize hicho. ukitaka kugundua kitu wacha traffic wa kike akukamate ukiwa na mtoto. Na pia wanawake wanareact kwa hasira wakidharulika kwasababu wanadharaulikwa kweli, kwani uongo? na atatumia uongozi wake kukunyooosha kwasababu umemdharau hii niimeiona sehemu nyingi sana na siwezi kuwalaumu sababu ni hali halisi, maofisi mangapi wanaombwa ngono wapate kazi yani mwanamke akiwa na mamlaka ukimdharau hata kidogo atareact sababu hii dhana tumeitengeneza sisi wenyewe kwa kuwadharau muda mrefu kwa hiyo tusilalamike. Hata sisi mbona msela akikudharau siku akiingia anga zako unamrusha kichura chura kwanza, kwani ni kitu cha ajabu? kabisa Sio wanawake tuu wanaofanya hiki kitu ni kila mtu.
yani vitu vingine akifanya mwanaume inaonekana sawa kabisa si naturally ni wababe.akifanya mwanamke ni mkatili, hana huruma, anakurupuka...acha hizo bwana me juzi mshkaji kanisimulia kafkuzishwa kazi na bosi wake kisa alikuwa anachallenge mipango ya bosi ya mwaka....sasa na huyo bosi wa kiume nae ana busara?

Nimefanyakazi na wanawake wengi sana na aise...wanawake ni wavumilivu kulikooo. kwenye familia, kwenye kazi, sisi mwanamke akitenda kosa ni talaka mfukuze mwanamke atabaki na wewe mpaka mwisho hadi kwenye kazi yani mwanaume akipata opportunity mpya haangaaali nyuma mwanamke anaanza kuiwaza ofisi yako na wewe atakaa na wewe hadi mwisho labda umruhusu bwana me nafunga kampuni ndo anaenda zake. Hizo weakness unazoszisema ni personal weakness usiweke wanawake wote kwenye hio bracket eti wako weak.... idadi za wanaume walijinyonga na kufa kwa presha ni kubwa kuliko wanawake ila leo hii tunasema wako weak wapeni heshima mama zako siku ingie bro
 
Umenena vema mkuu
safi sana hivyo ndivyo ambavyo mwanaume anapaswa kuwa ..
nakumbuka week iliyopita kuna Dada mmoja hvi nirafiki yangu tumewahi soma wote sasa huyu Dada ameshaolewa katk mawasiliano kumbe mumewe bwana nimtu mwenye wivu mnooo ..basi kuna siku nilimtext HLW ..Jamaa alikuwa na Simu ya mkewe akanitumia text kwa Simu yake sasa ..wewe nani na una mawasiliano yapi na mke wangu ..(MIMI NIKASEMA TOBA) nikamjibu mbona huyo ni Dada yangu tu ..basiiii kilichofuata hapo nimvua ya msg za matusi nikakaa kimyaaaa kabisa bila kujibu
baadae akaanza kumtukana mama yngu ..ndio nikaamua kumjibu but ilikuwa nimemjibu kwa busara mnooo na baada ya muda akaanza kujishusha na kujiona kuwa yeye nimpumbavu tena wa mwisho ...
nilichojifnza nikuwa mwenye kutanguliza hekima na busara ktk kila jambo ..sio kila jambo linalo kukabili basi yakupasa utumie maguvu tu nakukabiliana nalo..kwanza wnawake wengi niwatu waku react na wanapo react nimara chache mnoo kuwakuta wakiiongoza na busara ...na kurushiana maneno nisehemu ya maisha yao..
 
Labda nikuulize kujinyonga kunakujaje hapo? Unajua kujinyonga kunasababishwa na nini? Me nmezungumzia sakolojia na maumbile. Mf. Viwanda vingi na makampuni yanapenda wanawake kwakuwa ni waaminifu, pia wanaridhika hata kidogo wanachopata na pia ni dependant. Mfano kuna viwanda vinalipa hadi elf4500 kwa siku, ss unategemea wafanya kaz wengi hapo lazma watakua wanawake. Wanaume hawakai wanakimbia kutokana na presha za jamii. Mwanamke anaujasiri wa kuzaa na kulea mtoto wake kuliko mwanaume na atafanya lolote ili mtoto wake akue, Mungu ana maana yake ktk hilli. Je hakuna wanawake wanaotupa watoto? Hakuna wanawake wanaotelekeza watoto ili tu aolewe kwingine? Mm nimezungumzi kwa ujumla wake, na nawewe umekubali kuwa wanadharauliwa kuwa ndo sababu kumbe ni inferiority complex ambayo ndo saikolojia anakua nayo. Mm ninachosisitiza ni to treat them right, we angalia vioja na vibweeka vya insta wanao rushiana maneno ni wanawake. Hakuna kinachomvuruga mwanamke km talaka lkn hakuna kinachomvuruga mwanaume km kugongewa, so ni saikolojia tu tuvumiliane na zaid zaid kila mmoja anakua anapambana na hali yake. Mf mzr ni kuachana kwa jide na Gadna,Flora mbasha na mbasha, angalia reaction za wanawake na wanaume hapo. Mungu alimwambia Adam ukatawale vyote akiwemo na mwanamke, so kutoshindana naye ndo kutawala kwenyewe huko.
Bro inawezekan ni changamnio unazozipita katika wanawake uwanawakeiri kweli kuna wanawake kwanawake.ila kuna mtu ana huruma kama mwanamke? Jiulize hicho. ukitaka kugundua kitu wacha traffic wa kike akukamate ukiwa na mtoto. Na pia wanawake wanareact kwa hasira wakidharulika kwasababu wanadharaulikwa kweli, kwani uongo? na atatumia uongozi wake kukunyooosha kwasababu umemdharau hii niimeiona sehemu nyingi sana na siwezi kuwalaumu sababu ni hali halisi, maofisi mangapi wanaombwa ngono wapate kazi yani mwanamke akiwa na mamlaka ukimdharau hata kidogo atareact sababu hii dhana tumeitengeneza sisi wenyewe kwa kuwadharau muda mrefu kwa hiyo tusilalamike. Hata sisi mbona msela akikudharau siku akiingia anga zako unamrusha kichura chura kwanza, kwani ni kitu cha ajabu? kabisa Sio wanawake tuu wanaofanya hiki kitu ni kila mtu.
yani vitu vingine akifanya mwanaume inaonekana sawa kabisa si naturally ni wababe.akifanya mwanamke ni mkatili, hana huruma, anakurupuka...acha hizo bwana me juzi mshkaji kanisimulia kafkuzishwa kazi na bosi wake kisa alikuwa anachallenge mipango ya bosi ya mwaka....sasa na huyo bosi wa kiume nae ana busara?

Nimefanyakazi na wanawake wengi sana na aise...wanawake ni wavumilivu kulikooo. kwenye familia, kwenye kazi, sisi mwanamke akitenda kosa ni talaka mfukuze mwanamke atabaki na wewe mpaka mwisho hadi kwenye kazi yani mwanaume akipata opportunity mpya haangaaali nyuma mwanamke anaanza kuiwaza ofisi yako na wewe atakaa na wewe hadi mwisho labda umruhusu bwana me nafunga kampuni ndo anaenda zake. Hizo weakness unazoszisema ni personal weakness usiweke wanawake wote kwenye hio bracket eti wako weak.... idadi za wanaume walijinyonga na kufa kwa presha ni kubwa kuliko wanawake ila leo hii tunasema wako weak wapeni heshima mama zako siku ingie bro
 
E

Kaka wamaume tupo wachache sn, waliowengi ni watu wa kurushiana maneno na wanawake, hiyo ni tabia ya kike. Niwah kutumiwa msg 200 ,na ex wangu za matusi, mm nilituma msg km 10 tu. Kila akituma 20 me natuma 1 nayo nikimwabi ok sawa, basi naomba yaishe. Baada ya kujua yey ndo mkosahi, akaja kuomba msamaha.
Unakaa kimya mwanzo mwisho.
Nshatumiwa sms kwa zaidi ya miezi 6 za kutukanwa nazisoma ila sijibu.
 
Unakaa kimya mwanzo mwisho.
Nshatumiwa sms kwa zaidi ya miezi 6 za kutukanwa nazisoma ila sijibu.
Hahaha, umefanya vzr tu kuto jibishana naye wala kumtukana, kwan pale anapotukana anakua ana reconsiliate na moyo wake ili apate na fuu na kuona km amempa ushindi. Lkn miez yote hyo inaonekana bado anakuhitaji ila hakuna uwezekano so ina mpa hasira, anajiona ni looser na ww ndo chanzo. Me nakushauri uwe unamtext kuonyesha km unamfkria ili asiumie sn, japo mungu kawapa uwezo mkubwa wa kuhandle stress.
 
mkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.
Hahahhahaha jamani umenivunja mbavu zangu ww
 
Asee! Kaikataa ile barua yake kabisa, nakumbuka aliuita waraka wa lady jaydee part one, alivyosema anatoa part two ruge akawahi mahakamani ndio wakamzuia. Na katika ule waraka alisema mpaka anakufa hataki kusikia clouds wanacheza nyimbo yake na akifa wasitangaze kifo chake na wasiende msibani. Hivi wakati anaandika lile libarua sijajua alikuwa na frustration gani. Leo anataka kuwatupia clouds lawama kwa kosa lake mwenyewe. Kiukweli nikifuatilia turn back ya rama dee, Ruby nimegundua clouds bado ni msaada wa hawa wasanii japo ndio dampo lao la lawama. Ruby baada ya kuachana na clouds alipauka japo alikuwa anapewa full support ya efm na majizo but walishindwa. Clouds wanajua ni jinsi gani ya kum treat msanii ili wapige pesa.
Kweli kabisa yaan ume hit the point
 
mkuu umeongea kitu kikubwa sana tulivamia na majambazi kama sita wawili wanawake .. nilijifanya mtata kiasi jamaa wa kiume akawaambia wale mademu 'ebu mshughurikieni huyo' aisee huwezi amini mkuu mwanamke anaroho mbaya kwenye maamzi ..si alinikata uume mkuu, saivi nina kibamia yani sina hamu na viumbe hawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mbona kama ni chai ya asubuhi hivi ukikatwa uume unabakia na kibamia au [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom