Jide mbona unaruka ruka?

Mnigeria wake bado hajampiga asepe walejamaa noma komando mbona kawa mcharo ghafla
 
umeongea ukweli nilishawahi kuwa na bosi mwanamke ulichoongea ni sahihi
 

Bro inawezekan ni changamoto unazozipita katika wanawake unaowajua nakiri kweli kuna wanawake kama hao..ila kuna mtu ana huruma kama mwanamke? Jiulize hicho. ukitaka kugundua kitu wacha traffic wa kike akukamate ukiwa na mtoto. Na pia wanawake wanareact kwa hasira wakidharulika kwasababu wanadharaulikwa kweli, kwani uongo? na atatumia uongozi wake kukunyooosha kwasababu umemdharau hii niimeiona sehemu nyingi sana na siwezi kuwalaumu sababu ni hali halisi, maofisi mangapi wanaombwa ngono wapate kazi yani mwanamke akiwa na mamlaka ukimdharau hata kidogo atareact sababu hii dhana tumeitengeneza sisi wenyewe kwa kuwadharau muda mrefu kwa hiyo tusilalamike. Hata sisi mbona msela akikudharau siku akiingia anga zako unamrusha kichura chura kwanza, kwani ni kitu cha ajabu? kabisa Sio wanawake tuu wanaofanya hiki kitu ni kila mtu.
yani vitu vingine akifanya mwanaume inaonekana sawa kabisa si naturally ni wababe.akifanya mwanamke ni mkatili, hana huruma, anakurupuka...acha hizo bwana me juzi mshkaji kanisimulia kafkuzishwa kazi na bosi wake kisa alikuwa anachallenge mipango ya bosi ya mwaka....sasa na huyo bosi wa kiume nae ana busara?


Nimefanyakazi na wanawake wengi sana na aise...wanawake ni wavumilivu kulikooo. kwenye familia, kwenye kazi, sisi mwanamke akitenda kosa ni talaka mfukuze mwanamke atabaki na wewe mpaka mwisho hadi kwenye kazi yani mwanaume akipata opportunity mpya haangaaali nyuma mwanamke anaanza kuiwaza ofisi yako na wewe atakaa na wewe hadi mwisho labda umruhusu bwana me nafunga kampuni ndo anaenda zake. Hizo weakness unazoszisema ni personal weakness usiweke wanawake wote kwenye hio bracket eti wako weak.... idadi za wanaume walijinyonga na kufa kwa presha ni kubwa kuliko wanawake ila leo hii tunasema wako weak wapeni heshima mama zako siku ingie bro
 
Umenena vema mkuu
 
Labda nikuulize kujinyonga kunakujaje hapo? Unajua kujinyonga kunasababishwa na nini? Me nmezungumzia sakolojia na maumbile. Mf. Viwanda vingi na makampuni yanapenda wanawake kwakuwa ni waaminifu, pia wanaridhika hata kidogo wanachopata na pia ni dependant. Mfano kuna viwanda vinalipa hadi elf4500 kwa siku, ss unategemea wafanya kaz wengi hapo lazma watakua wanawake. Wanaume hawakai wanakimbia kutokana na presha za jamii. Mwanamke anaujasiri wa kuzaa na kulea mtoto wake kuliko mwanaume na atafanya lolote ili mtoto wake akue, Mungu ana maana yake ktk hilli. Je hakuna wanawake wanaotupa watoto? Hakuna wanawake wanaotelekeza watoto ili tu aolewe kwingine? Mm nimezungumzi kwa ujumla wake, na nawewe umekubali kuwa wanadharauliwa kuwa ndo sababu kumbe ni inferiority complex ambayo ndo saikolojia anakua nayo. Mm ninachosisitiza ni to treat them right, we angalia vioja na vibweeka vya insta wanao rushiana maneno ni wanawake. Hakuna kinachomvuruga mwanamke km talaka lkn hakuna kinachomvuruga mwanaume km kugongewa, so ni saikolojia tu tuvumiliane na zaid zaid kila mmoja anakua anapambana na hali yake. Mf mzr ni kuachana kwa jide na Gadna,Flora mbasha na mbasha, angalia reaction za wanawake na wanaume hapo. Mungu alimwambia Adam ukatawale vyote akiwemo na mwanamke, so kutoshindana naye ndo kutawala kwenyewe huko.
 
Unakaa kimya mwanzo mwisho.
Nshatumiwa sms kwa zaidi ya miezi 6 za kutukanwa nazisoma ila sijibu.
 
Unakaa kimya mwanzo mwisho.
Nshatumiwa sms kwa zaidi ya miezi 6 za kutukanwa nazisoma ila sijibu.
Hahaha, umefanya vzr tu kuto jibishana naye wala kumtukana, kwan pale anapotukana anakua ana reconsiliate na moyo wake ili apate na fuu na kuona km amempa ushindi. Lkn miez yote hyo inaonekana bado anakuhitaji ila hakuna uwezekano so ina mpa hasira, anajiona ni looser na ww ndo chanzo. Me nakushauri uwe unamtext kuonyesha km unamfkria ili asiumie sn, japo mungu kawapa uwezo mkubwa wa kuhandle stress.
 
kilichopo clouds waachieni wana clouds sugu alipambana nao sana lkn huwezi shinda vita pale wale jamaa wamehozi industry ya media
Kifupi wanamuziki wote jamani mie naona Godfather wao ni Ruge na wanamsujudu kweli2
 
Hahahhahaha jamani umenivunja mbavu zangu ww
 
Kweli kabisa yaan ume hit the point
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mbona kama ni chai ya asubuhi hivi ukikatwa uume unabakia na kibamia au [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…