qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Zaidi ya kujipachika majina ya watu eti sasa hv anataka aitwe Dangote na wkt anaishi na mama yake nyumba ya kupanga,yule mwenzake eti anajiita "MY SHOES
Sio akina Mr. n Mrs ubaya wale wamezidi kujishaua mitandaoni sa Sijui wana mrusha roho Nani yani utafikir wao ndo wana sehemu za siri peke yao yaani
Una akili ya ziada
Zaidi ya kujipachika majina ya watu eti sasa hv anataka aitwe Dangote na wkt anaishi na mama yake nyumba ya kupanga,yule mwenzake eti anajiita "MY SHOES
wanasema mkikua mtaacha]Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini' .
Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini' kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?
Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.
So ukatumia nguvu nyingi kutega antena kumbe mahaba yamewazidi but bora umewaambia ili lisitokee tena.sikio limenisimama nkajua hawagegedani
msiwe mnatushtua hivo bana na heading za hivi
TehWema na ndomo wangekuwa ndo wenyewe wana mbo na k, mbona tungekoma apa mujini. Hawajui kuwa wanavyofanya hao na sisi tunafanya hivyo hivyo , sasa Sijui wanamlingishia nani..