Jide: Mimi na Gadner ni kama Kaka na Dada

Jide: Mimi na Gadner ni kama Kaka na Dada

Zaidi ya kujipachika majina ya watu eti sasa hv anataka aitwe Dangote na wkt anaishi na mama yake nyumba ya kupanga,yule mwenzake eti anajiita "MY SHOES‘’

Hahaaa eti bado anajenga mpaka tofali zitaoza nyumba bado jaijaisha
 
Sio akina Mr. n Mrs ubaya wale wamezidi kujishaua mitandaoni sa Sijui wana mrusha roho Nani yani utafikir wao ndo wana sehemu za siri peke yao yaani

Una akili ya ziada
 
Una akili ya ziada

Wema na ndomo wangekuwa ndo wenyewe wana mbo na k, mbona tungekoma apa mujini. Hawajui kuwa wanavyofanya hao na sisi tunafanya hivyo hivyo , sasa Sijui wanamlingishia nani..
 
Zaidi ya kujipachika majina ya watu eti sasa hv anataka aitwe Dangote na wkt anaishi na mama yake nyumba ya kupanga,yule mwenzake eti anajiita "MY SHOES‘’

"MY SHOES‘’ anajikuta anaishi New York kumbe yuko apa apa bongo da kazi kweli kweli
 
]Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini' .
Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini' kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?

Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.
wanasema mkikua mtaacha
 
Wema na ndomo wangekuwa ndo wenyewe wana mbo na k, mbona tungekoma apa mujini. Hawajui kuwa wanavyofanya hao na sisi tunafanya hivyo hivyo , sasa Sijui wanamlingishia nani..
Teh
 
Back
Top Bottom