Jide: Mimi na Gadner ni kama Kaka na Dada

Jide: Mimi na Gadner ni kama Kaka na Dada

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
]Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini' .
Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini' kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?

Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.
 
Sio akina Mr. n Mrs ubaya wale wamezidi kujishaua mitandaoni sa Sijui wana mrusha roho Nani yani utafikir wao ndo wana sehemu za siri peke yao yaani

Mbaya zaidi hawamiliki hata kibanda cha mama ntilie
 
Mbaya zaidi hawamiliki hata kibanda cha mama ntilie

Badala washauriane na kupanga mambo ya msingi kutwa mitandaoni, huyo ndomo anataka kuwa billionaire , amechunguza na kuona mabillionair wanafanyaga hayo anayoyafanya kutwa mapenzi? Awaangalie vijana wenzie wakina riz
 
Huyu mkurya kapata visenti hata amesahau ana kengeza. Mara clouds. Shida ya kutafuta umaarufu.
 
Badala washauriane na kupanga mambo ya msingi kutwa mitandaoni, huyo ndomo anataka kuwa billionaire , amechunguza na kuona mabillionair wanafanyaga hayo anayoyafanya kutwa mapenzi? Awaangalie vijana wenzie wakina riz
utoto unawasumbua
 
Sio akina Mr. n Mrs ubaya wale wamezidi kujishaua mitandaoni sa Sijui wana mrusha roho Nani yani utafikir wao ndo wana sehemu za siri peke yao yaani

Warumi wale hawana sehemu za siri ila wanasehemu za public.
 
Kweli kabisa maana zinaonwa na wengi

wana waiga akina Kim na kanye, wenzao kila wanachokifanya kinawaingizia pesa chafu, tukiona ------ ya Kim basi ujue kaingiza ma dola kibao, tukiona utupu wao wenyewe wanaingiza pesa huku wanaiga tu wanaambulia kujidharirisha na matus
 
Sio akina Mr. n Mrs ubaya wale wamezidi kujishaua mitandaoni sa Sijui wana mrusha roho Nani yani utafikir wao ndo wana sehemu za siri peke yao yaani

Hahahaha...nimecheka hapa kama mwehu yani..umetishaa
 
Mbaya zaidi hawamiliki hata kibanda cha mama ntilie

Zaidi ya kujipachika majina ya watu eti sasa hv anataka aitwe Dangote na wkt anaishi na mama yake nyumba ya kupanga,yule mwenzake eti anajiita "MY SHOES‘’
 
Back
Top Bottom