Jide na dogo dogo gumzo mjini

Global ni noma niliwapaga stori kuja kutoka kwenye gazeti wameshaongeza mambo kibao sikuwaambia wameokoteza picha sijui wapi eti ndio tukio lilivyooo

Na mimi nakumbuka kuna kipindi walichukua habar humu wakasema chanzo kilichokaribu na staa huyo kimesema wakat habar walitoa humu, yan global waongo hakuna cha chanz wala nn wanatunga wenyew
 
Bina naangalia TMT kale katoto kameshinda milion 50

Kapi tena maana ndo narud job now, yan omba mungu kibarua kiote nyasi, nahis ntakuwa sipatikan tena humu, yaniii
 
ng'ombe azeeki maini, acha dogo atest wakubwa wanakuwaje' hapo mzee 'mguu' vp
 
Nimeshasema mara nyingi sana,wakurya,na mastaa si wakuolewa,they're just for fun.
 
Hivi mawakili wote hawa mjini wanashindwa kuwatumia watu wanaoandikwa uongo ili hao global wakome? Waacheni jamaa wapige kazi bwana, mnasema wanaandika uongo lakini mnanunua, ni sawa na wale jamaa wanaoidis clouds lakini kutwa wanasikiliza vipindi vyao
 
Hatimaye jide ajibu
U
 

Attachments

  • 1409487058636.jpg
    85.8 KB · Views: 651
  • 1409487091251.jpg
    82.9 KB · Views: 634
  • 1409487111505.jpg
    91.3 KB · Views: 693
  • 1409487140660.jpg
    88.1 KB · Views: 690
Dada jide kaandika huyooo jamani

Global punguzeni aiseeee

Kuna kila sababu ya kuwa sue global hasa mhariri wa hilo gazeti kama kweli wahusika wanaumizwa!
Mi nawashangaa kwanini wizara ya habari inawalea sana Global kwa kudhalilisha watu? Kwanini wasiandike ukweli?
 
Dada jide kaandika huyooo jamani

Global punguzeni aiseeee

NDo yale yale mambo, kuandika ooh chanza cha karibu na staa huyo kumbe chanzo chenyewe jf au instagram

Na hiyo issue ya kujifanya mara tulimpigia msanii apokei simu au et namba yake haipatikan kumbe hawana ni ujanja tu, awa mbona wataumbuka mwaka huu??

zamani ilikuwa ukichafuliwa na magazet bhaaas huna pa kujitetea sasa iv mitandao kibaooooo dah nimeopenda hii kutoka kwa jide
 
Dada jide kaandika huyooo jamani

Global punguzeni aiseeee

Mungu wapi, jide kafunguka huyooooo ni nomaaaa, khaa!! Siri zote hadharan, ebu nikae mkao wa kula mie mmh!!!

halafu kwa jinsi alivyoandika apo sijui kama kuna ndoa apo tena
 

Mkuu Ni nani mwenye jukumu la kuwasue Global kama sio hao wakina jide? Kama wao waanamua kuongea bila vitendo unafikiri with wafanye mini?
Tatizo ni mtu was kumfunga paka kengele!
Nimegundua kumbe Global MTU akikataa show yao wanamchafua! Na hata Diamond walimchafua baada ya kukataa show yao kwa kutofika bei!

Inabidi wahusika waamue kuwa shughulikia hawa global kwa kuanza kuandikia barua baraza la habari Tanzania!
 
Kuna kila sababu ya kuwa sue global has a mhariri was hilo gazeti kama kweli wahusika wanaumizwa!
Mi nawashangaa kwanini wizara ya habari inawalea sana Global kwa kudhalilisha watu? Kwanini wasiandike ukweli?

Mhariri wa hilo gazeti ni anaitwa Evarist

Kutwa yupo kuandika scandal kwenye magazeti tena za kutunga ni waongo balaa sa wengine huchukua habari kama ilivyo na kuona jide ni kweli yuko na mtoto wa vitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…