na mi sijaelewa hapo.........
Jide hatakagi ujinga yule, ila jamaa hanaga shida kabisa ni mpole mno sema kwa kupenda papuchi sasa ajambo
Naona jide siku izi yupo na wancy model, wanapendana na wenyewe maana watu waliwachamba sana pale nyumbani lounge ila bado wenyew wanapendana kama mtu na dada yake
Hahahaaaaaa ma X hakuna kuachana siku mkikutana mkakumbukana
si vibaya kukumbushiana mechi mlizocheza ati...
Jide anapanga nyumba mpya au nani??
Nyasamaki arudi apa atufafsnulie, au ndo hatak kurudi kwake kwa kuwa anajua atammis mumewe, maana mazingira pia yangemtesa labda kaamua kuishi maisha mapya na sehemu mpya, sasa lile lijumba atapanga au? Mmh si nilisikia eti anafuga nyoka? Kama kweli basi litaozeana tu hakuna atakayepanga mule
Kahamia nyumba Mpya Masaki sasa sijui kapanga au kanunua ! kasema anataka kuwa karibu na shughuli zake mjini ...Warumi hujui hata wewe tena tunaokutegemea mau- mbeya ?
Kama masaki uko kajenga best,nilisikia zamani kidogo, siangaliagi diary binamu, dah kweli jide nyoko yule, atakuwa ndio msanii wa kwanza TZ kuishi ushuani, safi sana kamanda jide, kwa hiyo walionyesha hadi nyumba yenyewe??
Itakuwa kanunua maana nilisikia izo tetesi mda sana[/QU
anaigiza tu, hela anayo lakini ya kununua masaki binamu, bado sana.
Itakuwa kanunua maana nilisikia izo tetesi mda sana[/QU
anaigiza tu, hela anayo lakini ya kununua masaki binamu, bado sana.
Kupanga kwenyew kule ni ishue binamu mpunga wake mnene, ila kwa huyu bibie kama kaweza kuporomosha mgahawa ule pale kinondoni mjini penye bei mbaya sidhan kama kule masaki atashindwa, jide yupo makini sana na mambo yake, inawezekana ikawa kweli, ila mtu kama shilole ungeniambia kanunua masaki kwa kweli ningebisha hadi hasubuhi
Hahahaaaaaa ma X hakuna kuachana siku mkikutana mkakumbukana
si vibaya kukumbushiana mechi mlizocheza ati...
Kama masaki uko kajenga best,nilisikia zamani kidogo, siangaliagi diary binamu, dah kweli jide nyoko yule, atakuwa ndio msanii wa kwanza TZ kuishi ushuani, safi sana kamanda jide, kwa hiyo walionyesha hadi nyumba yenyewe??
Kupanga kwenyew kule ni ishue binamu mpunga wake mnene, ila kwa huyu bibie kama kaweza kuporomosha mgahawa ule pale kinondoni mjini penye bei mbaya sidhan kama kule masaki atashindwa, jide yupo makini sana na mambo yake, inawezekana ikawa kweli, ila mtu kama shilole ungeniambia kanunua masaki kwa kweli ningebisha hadi hasubuhi
Hakuna kitu binamu,wanaigiza mradi apate cha kuonyesha kwenye diary hakuna kitu, hata huko kuachana ni maigizo ili kuongeza idadi ya watazamaji maana diary ilianza kudorola anaaza kuwa kama kina fulani kutengeneza skendo
.
Waliionyesha Bonge la Nyumba na Bonge la Ukuta , Bonge la Geti ...Naona kaamua kuanza kwenye mazingira mapya ili kumbukumbu za G zisimsumbue ( hili ni hisia zangu mimi )
Hakuna kitu binamu,wanaigiza mradi apate cha kuonyesha kwenye diary hakuna kitu, hata huko kuachana ni maigizo ili kuongeza idadi ya watazamaji maana diary ilianza kudorola anaaza kuwa kama kina fulani kutengeneza skendo
.
Inawezekana kabisa, maana bibie kimuziki hayupo sana so huenda anajaribu kutafuta kick ili azidi kuwa juu, japokuwa hili sina uhakika nalo
Sasa binamu kama mtu kajenga mgahawa wa bei mbaya pale moroco, atashindwa kununua nyumba masaki? Sidhani kama inashindakana, bibie yupo vizur financially yule, haina ubishi jide mpunga anao bwana, kwa msanii wa kawaida kuishi hotel yenye hadhi kwa mwezi si mchezo binamu, wasanii wengi hotel kubwa wanaishia kufanyia shooting au kukaa siku mbili tena kwa kulipiwa ila jide anajiweza tuongee mengine tu
Ni hisia za kawaida tu, ni kweli asingeweza kukaa kule mbezi mjumba wote ule peke yake wakati alizoea kuishi na mumewe ni dhahiri angemmis tu ata angekuwa nani so labda kaamua kubadili mazingira mapya azoee bila gadner
Itakuwa kanunua tu maana hawezi kuacha nyumba yake mbezi halafu akapange masaki maana kule kupanga nyumba ni bei mbaya halafu kama ulivyosema nyumba yenyewe ya haja si itakuwa balaa kodi yake, atakuwa kanunua, kwani kwenye diary hakusema kuwa kanunua au kapanga?
Je alisema kama kapanga??
Acheni masikhara kuwa na nyumba masaki achilia mbali kiwanja..
~Bei za viwanja vya masaki mnaijua? Bosi wake wa zamani Joe Kusaga hana nyumba masaki itakuja kuwa jide?
~Labda maigizo tu ya Diary jumba kubwa kama ilo price yake per month si chini ya $5,000 mara 12 =60,000$=100millions Tsh.