Jide na Gadner warudiana?

Jide na Gadner warudiana?

Itakuwa....maana bidada kimyaaa, kama sio yeye!

Nasikia wapopo huwa hawafanyi mistake kwenye maisha!...former US presidaa Bush hana hamu nao![emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaaah,noma sana,bora tu alivyorudisha majeshi kwa gadner wake kama ni kweli,maana kwa yule bazazi wa kinaija ilikuwa ni balaa zito
 
Mzigua90 hivi kisa cha kukosana na Clouds ni kipi wakati mumewe alikuwepo?
Mume alishirikiana na wezi wakaenda kumuibia vifaa vya gari ile murano badae watu wakamtonya kuwa gadna alihusika walipukutuisha vitu kama vya milioni ishirini hivi according to jaydee mwenyewe ikabidi afunge safari hadi uganda kufata spea mpya
 
Wakirudian aitakuwa jambo jema sana. Wametoka mbali sana
 
Back
Top Bottom