Wakati mnashutumiwa kwa kutumia majina fake ebu kila mmoja ajielezee yeye mwenyewe kwa neno moja tu hii itasaidia kujuana kwa undani zaidi kwa vile hatuonani.
Me naanza - "unique"