Jielezee wewe mwenyewe kwa neno moja tu

Jielezee wewe mwenyewe kwa neno moja tu

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Wakati mnashutumiwa kwa kutumia majina fake ebu kila mmoja ajielezee yeye mwenyewe kwa neno moja tu hii itasaidia kujuana kwa undani zaidi kwa vile hatuonani.
Me naanza - "unique"
 
Wakati mnashutumiwa kwa kutumia majina fake ebu kila mmoja ajielezee yeye mwenyewe kwa neno moja tu hii itasaidia kujuana kwa undani zaidi kwa vile hatuonani.
Me naanza - "unique"
Hatari
 
Baada ya kugonga mwamba kwa MM ss mnakuja na hii? mmeandaa sandarusi ngapi?.
 
Back
Top Bottom