Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

kwa wasiojua, mtungo adhabu yake ni life imprisonment (adhabu ya kifo). nawapa taarifa tu. msijisahau sana.
 
Simba na yanga

Ccm na chadema .

Mke wa MTU na mme wa MTU .

Kupiga mtungo na kupiga mende


Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
Vijana tukiweza ku-focus CHADEMA na kuifanya chama tawala tutaona kumbe Tanzania inaweza kuwa mahali pazuri.
 
Kila mtu na starehe yake ila kila starehe ina madhara yake pia...tumeona madhara aliyopata binti kwa kutembea na mme wa mtu.
 
Back
Top Bottom