Niletee namba ya joanahNitumie harufu ya perfume yako wasap nikupatie utajiri unaotaka
Leta namba ya @ joanah nami nitaiamuru mizimu yangu ikupe ukitakachoEmbu tufanye wewe ndio mganga wakienyeji nimekuja kwako ili nipate utajiri utanipa masharti gani [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Utakacho kitaka nitakufanikishiaππππ
Nikikuletea namba ya huyo joanah utafanikisha jambo gani?
Mimi nafanania na uyo kikongwe?Unajua sometimes nakufananisha na Asprin πππ
Mnanichekesha hata muda ambao sijisikii kucheka!!
Mimi nafanania na uyo kikongwe?
Nawish nishare na you ngoma nnayo sikiliza now
Nimecheka adi wapangaji wezangu wamekuja kunigongea0677 062 998
Namba ya joanah hiyo hapo...sasa ndugu mganga naomba unisaidie niitoe moyoni man chester united,inanipa stress nataka niachane nayo
Nast c inaitwa everythingNitajie niipakue hapa sasa hivi