Jifanye wewe ndio mgaga wa kienyeji unipe masharti

Jifanye wewe ndio mgaga wa kienyeji unipe masharti

Nimecheka adi wapangaji wezangu wamekuja kunigongea

Mimi mwenyewe iyo ndo time yangu nashindwa kabisa kuitoa moyoni na hii yanga zinanitesa sana

Hahahaha wewe kweli uko pabaya

Manchester united+Yanga=Kifo cha kujinyonga 😂😂
 
Hahahaha wewe kweli uko pabaya

Manchester united+Yanga=Kifo cha kujinyonga 😂😂
Acha tu maisha yananichanganya, mpira ndo usiseme afu kibaya zaidi sina ata wa kunifariji usingekua mziki sijui ningeishije
 
Nast c inaitwa everything
Jason derulo if am lucky


Na nyingine nyomi
Hizo mbili nasikiliza sasa hivi nishazidownload,siku ukipata muda naomba unitajie nyingi nyingi
Mziki na mpira ndio starehe zangu kubwa
 
Acha tu maisha yananichanganya, mpira ndo usiseme afu kibaya zaidi sina ata wa kunifariji usingekua mziki sijui ningeishije
Mie pia bila mziki ningekuwa vibaya zaidi na simba sio mbaya sana inatia moyo
 
Shatti ni moja tu... Ingia hicho chumba cha pili vua nguo zote na uiname kuna mzimu wangu utakuja sasa hivi. Mimi naenda kuwaletea KY ila wewe anza kwa kusikiliza wimbo wa Mwanza wa Rayvanny
 
Unajua sometimes nakufananisha na Asprin 😂😂😂
Mnanichekesha hata muda ambao sijisikii kucheka!!
Acha hizo basi. Unajua niko mlimani huku nakuombea upate mme mwema asiye na kibamia we unanifananisha na vijamaa vyenye vinasaba vya mchawi Mshana Jr ??

Nakupa masaa 24 uniombe radhi
 
0677 062 998

Namba ya joanah hiyo hapo...sasa ndugu mganga naomba unisaidie niitoe moyoni man chester united,inanipa stress nataka niachane nayo
Nimeitumia muamala hii namba jina likatokea Jokate Mwegelo. Hivi unataka niunganishwe kwenye kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha papuchi za chama na serikali...???
 
Back
Top Bottom