Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Nimecheka adi wapangaji wezangu wamekuja kunigongea
Mimi mwenyewe iyo ndo time yangu nashindwa kabisa kuitoa moyoni na hii yanga zinanitesa sana
Hahahaha wewe kweli uko pabaya
Manchester united+Yanga=Kifo cha kujinyonga 😂😂