Jifanye wewe ndio mgaga wa kienyeji unipe masharti

Acha hizo basi. Unajua niko mlimani huku nakuombea upate mme mwema asiye na kibamia we unanifananisha na vijamaa vyenye vinasaba vya mchawi Mshana Jr ??

Nakupa masaa 24 uniombe radhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hulali?
 
"MGAGA"!!![emoji23][emoji119]kweli kiswahili kinakuwa kwa kasi ya ajabu
Embu tufanye wewe ndio mganga wakienyeji nimekuja kwako ili nipate utajiri utanipa masharti gani [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Leta soksi ya yule mlinzi wa raisi (yule anae kaa pembeni ya raisi na sio yule anae vaa sare) iliyotoboka kisigino iwe haijafuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shatti ni moja tu... Ingia hicho chumba cha pili vua nguo zote na uiname kuna mzimu wangu utakuja sasa hivi. Mimi naenda kuwaletea KY ila wewe anza kwa kusikiliza wimbo wa Mwanza wa Rayvanny
ndiyo ulivyofanyiwa ukapata utajiri?
 
Nimeitumia muamala hii namba jina likatokea Jokate Mwegelo. Hivi unataka niunganishwe kwenye kesi ya uhujumu uchumi na kutakatisha papuchi za chama na serikali...???
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu niache
 
Leta soksi ya yule mlinzi wa raisi (yule anae kaa pembeni ya raisi na sio yule anae vaa sare) iliyotoboka kisigino iwe haijafuliwa.
Kiusalama anaevaa gwanda ana nafasi nzuri kumwokoa Sponsor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…