jambo dogo tuEbu Jifanye wewe ni mganga wa kienyeji nimekuja kwako Kuomba dawa inipatie Utajiri,
Nipe masharti yako tuone ni nani atakuwa mkali wa kutoa masharti magumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakagi hata kuwasikia hao watu na wala sijawahi kukanyaga huko, ila nasikiaga wana masharti ya kipumbavu sana.[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe utakuwa mdogo wake na mganga hapa hutoboi
kiongozi tu yeyote kisha lete mrejeshoKiongozi Gani mkuu
Haya maisha. 😀😀 Hata walio wahi kwenda wengine hawakupenda ni yaliwakuta. Shida hizi kuna wakati niliwaza niende kwa mganga ni Mungu tu alinilinda na wazo hilo likatoweka. Yaani ilibaki hiviiii🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitakagi hata kuwasikia hao watu na wala sijawahi kukanyaga huko, ila nasikiaga wana masharti ya kipumbavu sana.
Kama nakuona hapo kwenye hivii ni kama umeshika kidole flani hiviHaya maisha. [emoji3][emoji3] Hata walio wahi kwenda wengine hawakupenda ni yaliwakuta. Shida hizi kuna wakati niliwaza niende kwa mganga ni Mungu tu alinilinda na wazo hilo likatoweka. Yaani ilibaki hiviiii[emoji1787]
Wee bana wewe.😀😀Kama nakuona hapo kwenye hivii ni kama umeshika kidole flani hivi