Jifunze English tenses kwa Kiswahili


Ni kweli mkuu, ila sio wote wanaomudu.....wengi wataishia kwenye kuvulunda katika tense

utasikia wanasema;
I was eaten food yesterday

kujifunza na kuelewa kanuni ni vizuri
 

upo tayari kwa quiz???
 
Tutatangaza ushirikiano katika kutoa elimu kwa njia ya vitabu ambavyo vitampa mwanafunzi hamasa ya kujifunza Kiingereza na Lugha zingine katika level ya sekondari na kuendelea....
piga simu mapema!
 
Hope itakuwa,

I came but I did not find you = Nilikuja lakini sikukukuta

Na nikisema:
(a) "I came but I did not found you"
Nikiwa namaanisha kuelezea mda ambao umepita yaan:
found = si-ku-ku-kuta.

(b) "I came and I did not found you"
Nikiwa na maana ya kuonyesha uwezekano wa kuwepo kiunganishi/bridge/conjunction katika sentenc hyo:
"...came-and-I did not... = nilikuja-na-sikukukuta".

Ni Mchango wangu Wakuu. Tuendeleeni.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mkuu elewa hivi:-
The word "found" is a simple past tense of the word "find"
The verb "did" is also a simple past tense of the verb "do"
So kwenye sentence ukishatumia simple past verb the next verb should be in simple present tense! For instance....
"I came but i didn't find you"! Or
"I came but didn't see you!
NOT
" I came but i did not found you"!
"I came but i did not saw you "!
These all are incorrect sentences.

Back to the thread.....
Nilikuja lakini sikukukuta, inakuwa kama-:
I came but i didn't find you.
(nilikuja lakini sikukukuta).
I came but i didn't see you.
(nilikuja lakini sikukuona).
I came but you were absent.
(nilikuja lakini ulikuwa hupo).
I came but you were not around.
(Nilikuja lakini ulikuwa hupo).

And lots of sentences of the like!!



Well shared!!
 

Tatizo kubwa lipo katika kuongeza -s, -es na -ies. Kwamba mwanafunzi ataongozwa na nini ili kujua kwamba sasa aweke ipi kati ya hizo? mfano Play mwanafunzi anaweza kuweka Playes, au playies wakati au ni kwanini atoe Y kwenye neno CRY ili apate CRIES. Kwa ujumla ni kazi sana. Ni lazima kuwe na maelezo ya kuonesha kuwa ni Verbs za sifa gani ambazo mwanafunzi ataongeza S tu na zenye sifa zipi ataongeza ES hali kadhalika zipi za kuweka IES. Bila kufafanua makundi hayo matatu ya VERBS (vitenzi) itakuwa kazi sana. Ni shida! Vilele kuna baadhi maneno ambayo lazima u-drop herufi ya mwisho ili kuongeza ies hasa yale yanayoishia na Y mfano FLY na CRY. Mfano mwanafunzi anaweza kutaka kujua kwanini kwenye CRY au FLY unatakiwa u-drop Y na kuongeza IES lakini kwenye PLAY hau-drop Y baadala yake unaongeza tu S. Nafikiri pia kuna haja ya kushughulika na VERB CATEGORIES

Tense hii ni rahisi zaidi kwa mwanafunzi kuelewa na mwalimu kufundisha hasa inapotumika nafsi ya kwanza Umoja "I" na zile za uwingi yaani YOU(hii ni both 2nd person singular and plural), we, they au unapotaja majina ya watu wawili kwa pamoja
 
mh. Mobile hongera japo nimemis masomo yako, tafadhali rejea haraka jukwaani kwani nina yangu mengi kukueleza!

#Naomba muyapeleke hayo maneno hapo juu kwa kiingereza#
 

USIPATE TAABU MKUU NIPO
KUMBUKA

-S inaongezwa katika verb iwapo inaishia na konsonanti au irabu –e kama vile; § chase = chases § climb = climbs -es inaongezwa katika verb iwapo inaishia na irabu –o au -ch kama vile; § Go = goes § Teach = teaches -ies inaongezwa katika verb iwapo inaishia na –y ikifuatiwa na konsonanti kama vile; § Cry = cries § Fly = flies § Fry = fries Mifano zaidi katika sentensi Ø He goes to school Ø She plays netball Ø It cries daily Ø Juma eats rice
 
PRESENT SIMPLE TENSE KWA FAIDA YAKO, ONGEZEA KANUNI HII
KUMBUKA

-S inaongezwa katika verb iwapo inaishia na konsonanti au irabu –e kama vile; § chase = chases § climb = climbs -es inaongezwa katika verb iwapo inaishia na irabu –o au -ch kama vile; § Go = goes § Teach = teaches -ies inaongezwa katika verb iwapo inaishia na –y ikifuatiwa na konsonanti kama vile; § Cry = cries § Fly = flies § Fry = fries Mifano zaidi katika sentensi Ø He goes to school Ø She plays netball Ø It cries daily Ø Juma eats rice

Kitabu kinauzwa Tsh. 3,000/= tu, kwa jumla bei inapungua saaaaana!
 
Sentensi hii inaendaje kwa kiingereza? "baba mimi mwanao wa ngapi?"

lets me try.Father, what position i am among your childrens or father what numerical position i am between your childrens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…