Jifunze English tenses kwa Kiswahili

Sentensi ya kiingereza ikisha kuwa katika wakati uliopita na ika na kikanushi cha "not" verb inayofuata hatuiweka tena katika wakati uliopita kama hapo kwenye "found" itabidi iwe "find" kiongozi

Ndiyo!

"I came but I did not found you." x This sentence is grammatically incorrect.

I came but I did not find you. I came and I did not find you. This is correct.

The help verbs do / does / don't / doesn't are always combined with the bare infinitive of the main verb.

The help verbs did / didn't are always combined with the bare infinitive of the main verb.

In other words, the negative and interrogative forms of the Present Simple and Past Simple always use the bare infinitive of the main verb.

You can download a list of the forms of all present and past tenses here:

English Grammar | somabiblia
 

She cries every morning. (two words)

I usually go to the shop. (word order) Adverbs of frequency go:
1. before the main verb: He always comes late.
2. after the verb 'to be': He is always late.
3. after the (first) help verb: He has always come late.

....every Sunday. (days and months have a capital letter)
 

sawa mkuu
 
Ok JITA MOBILE SCHOOL ni kweli simple present tense ni matendo yanayofanyika kila siku au mara kwa mara au matendo yanayojirudia rudia.
Tunapozungumzia kuongez S,ES,IES huwa tunaigusa kabisa nafsi ya tatu umoja,yani HE,SHE na IT.
Verb ambazo ninaongeza ES ni verb zote ziloishishiwa O,CH,SH,X,S hizote utaongeza ES.
Nahisi kuchoka usingizi njoja nkatishe. . . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:

pole kwa uchovu na usingizi mkuu. nashukuru kwa mchango wako
 
Nina eng to swah kwenye cm yangu lakn tens znanisumbu sana naweza english reading and english feeling but english talk mtiani mkubwa kwang
 
Labda sijakuelewa vizuri, naomba kufahamu unamaanisha nini naposema mtu unaweza kuwa mzuri kwenye Grammar lakini Tense ikakusumbua? Au nipe tofauti ya grammar na tense!
 
Haiwezekani usijue matumizi sahihi ya tense then ukajiita mtaalamu wa grammar mkuu.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
I know am the first born, am i?..××
grammatical this is incorrect one


I know am the first born, aren't i?, or am not i?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda sijakuelewa vizuri, naomba kufahamu unamaanisha nini naposema mtu unaweza kuwa mzuri kwenye Grammar lakini Tense ikakusumbua? Au nipe tofauti ya grammar na tense!
Kwa msaada.Hapo kuwa mzuri kwenye grammar mfano mtu anajua kanuni za mpangilio wa vipashio katika tungo mfano:
She eats beans (SVO) katika sentensi za kawaida
pia hata katika senstensi ulizi mfano: Does she eat beans?(VSO?)
#NB
S-Subject(mtenda)
V-Verb(kitendo)
Object(mtendwa)
Lakini mtu huyohuyo(mara nyingi mzungumzaji wa lugha ya pili) anaweza akachanganya tense mfano katika past tense cut-cutted *cut au go-goed *went
Tense ni njeo;wakati wa tendo kufanyika(wakati uliopita,uliopo na ujao)
WAKATI
Grammar ni sarufi yaani jumla ya kanuni zinazomuongoza mtumiaji(mzungumzaji/mwandishi) kutunga sentensi zinatakazoeleweka kwa mtumiaji mwingine(msikilizaji/msomaji)
Tense ipo ndani ya grammar(grammar ni pana zaidi ya tense)
 
 
Ipi ni sahihi hapa?
Yanga plays well.
Yanga play well.
Kwa upande wangu ningesema yanga plays well. Kwasababu kanuni inasema I, we, na they, hauongez s ila kwenye he, she, na it unaongeza s iyo yanga tuiingiz kwenye it cause iyo yanga sio binadamu itaingia kwenye vitu ambapo tutatumia it. Na pia tunaongeza s kama tendo la kila siku ambapo yanga hucheza mpira kila siku.
 
Je,"Yanga huwa wanacheza vizuri" itakuaje katika kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…