Jifunze haya mambo mawili, yatakusidia

Jifunze haya mambo mawili, yatakusidia

pachawako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2024
Posts
120
Reaction score
315
Mpende Mungu wako.
Usimpende mwanadamu zaidi ya mungu. Utu pekee unatosha, Upendo ni maradhi ya akili, jinsi unavyopenda zaidi ndo unavyopoteza nguvu ya asili ndani yako.

Tengeneza himaya yako.
Himaya yako ndo ulinzi wako, usipokua na himaya basi hii Dunia haitoacha kukufundisha somo la maumivu maana huo ni udhaifu. Ukisimamia himaya yako utapata watu wa kukutii na kutoka kwenye imaya kama yako.

Ead Mubarack🌙
 
Utu ndio upendo wenyewe. Sina uhakika unamaanisha nini ukisema usimpende mwanadamu. Ila kwa kusema utu tu unatosha, hapo umemaliza kila kitu, na ndio upendo wenyewe!
 
Utu na upendo Ni vitu viwili tofauti ...

Utu unaonesha kujali na kutomfanyia MTU ubaya ,unamsaidia MTU Bila kutegemea kitu chochote au malipo yeyote kwake ,Ni kama vile unavomsaidia ombaomba ,Ile pesa huifikilii wala kujali ......hata kama Yule omba omba akiwa tajili au asipokuwa hujali ........

Upendo Ni kujitoa mhanga kumsaidia MTU au kumtumizia mahitaji Mara nyingi vingine vinakuwa nje ya uwezo wako ,ila unaamua kujitoa Kwa Kila kitu huku ukiamini unayemsaidia au unayempa na yeye atakuonesha matendo mazuri kama unavomuoneshe ...na hapo ndipo maumivu hutokea maana Yule uliyemwamini Kwa kumfanyia hivyo lazima atakudissapoint tu ....binadamu tuko hivo
 
Ukiwa na utu huwezi kumpendelea mtu zaidi ya mtu mwingine. Ukimpenda mtu utampendelea.
 
Utu na upendo Ni vitu viwili tofauti ...

Utu unaonesha kujali na kutomfanyia MTU ubaya ,unamsaidia MTU Bila kutegemea kitu chochote au malipo yeyote kwake ,Ni kama vile unavomsaidia ombaomba ,Ile pesa huifikilii wala kujali ......hata kama Yule omba omba akiwa tajili au asipokuwa hujali ........

Upendo Ni kujitoa mhanga kumsaidia MTU au kumtumizia mahitaji Mara nyingi vingine vinakuwa nje ya uwezo wako ,ila unaamua kujitoa Kwa Kila kitu huku ukiamini unayemsaidia au unayempa na yeye atakuonesha matendo mazuri kama unavomuoneshe ...na hapo ndipo maumivu hutokea maana Yule uliyemwamini Kwa kumfanyia hivyo lazima atakudissapoint tu ....binadamu tuko hivo
Nashukuru sana 👍
 
Back
Top Bottom