OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Tafiti ni requisite kwa wanafunzi wa Masters na Phd ambapo kwa sasa wanatakiwa kuwa na publication kwa wanaofanya masters by thesis, huku Phd Ikiwa ni lazima kuwa na publications mbili kwenye reputable Journal
Choices za data za kutumika hutegemea na study na upatikanaji ambapo kwa baadhi ya wakati watu hulazimika kutumia Primary Data ambayo huweza kufanyika kwa Observation, Interviews, Group, Discussion au Questionnaires ambapo hapa ni muhimu nikaelekeza kidogo kuhusu questionnaire kutokana na kuona shida kidogo kwenye questionnaires kadhaa nilizoziona
Misingi ya kufuata
Questionnaire haiandaliwi kwa kutegemea ufahamu wa takwimu ulionao, bali namna bora ya kuelezea mahusiano ya Variables unazozichagua, ambapo mara nyingine utapaswa kumtafuta mtakwimu au econometrician kwa maelezo zaidi
Tumia Hypothesis/Research Question kujua variables unazotaka kuzistudy ili kuprove au kudisprove study yako
Ijulikane ya kwamba hata data ikiwa ya majibu ya 'Yes' na 'No' inaweza kuwa 'Regressed' kwa njia mbalimbali ikitegemea na uhusiano unataka kuweka.
Common Mistakes in Most Questionnaire.
Kosa kubwa ni kuuliza maswali ambayo yanaomba maoni ya anayeulizwa badala ya kuuliza maswali probing na baadae kuangalia uhusiano. Hapa sio kwamba maswali ya watu kutoa maoni ni mabaya lakini suala ni kuwa angalia na nature ya study yako
i.e. Mtu anataka kujua Sababu za watoto wa Mitaani, Study ina Title, Factors that Cause Street Children in Dar-es-Salaam. Study kama hii inaweza kuwa na maswali ya kwenda kuwauliza watoto, sasa natoa mfano wa maswali ya kawaida na maswali ambayo unaweza kutumia kuregress
1. Je, kutokuwa na wazazi kunapelekea watoto kuwa mtaani? {Likert test} yaani unaweza kuweka majibu kama, 1. Nakubaliana, 2. Sikubaliani, 3. Sijui
2. Unakubaliana kiasi gani kuwa magonjwa husababisha watoto wa mtaani {Likerst test}
.
.
.
Maswali haya ukiyaangalia hayana shida lakini utaona majibu yatakayotokana na regression ya hapo yataonesha maoni sio 'factors zinazopelekea watoto wa mtaani' Kwa usahihi maswali yanaweza kuwa kama ifuatavyo. Kwanza unaweza group maswali kwa watoto na maswali kwa wazazi
Kwa watoto wa mtaani.
1. Je, Una wazazi? a. Yes. b. No
2. Wazazi wako wanaishi wote pamoja? a. Yes b. No
3. Waliokuwa/Wanokulea kuna anayeumwa? a. Yes b. No
.
.
.
Tofauti ya hapo ni kuwa, maswali ya awali yanauliza MAONI, wakati hayo maswali ya pili yanauliza HALI, ambapo kupitia Hali unaweza kuregress na kujua watoto wa mtaani wanasababu ipi ya kwenda mtaani, wakati kupitia maoni utafanya descriptive statistics na kusema katika watu 100 watu 80 wamekubali kuwa magonjwa yanasababisha watoto wa mtaani. Huku maswali ya hali yatakupa matokeo kama, katika watoto 100 niliowahoji 80 wana wazazi waliowagonjwa (Descriptive ambayo itafuatiwa na some regressions)
Likert questions zinaweza kuwa regressed i.e kwa kutumia Orderly Logistic Model. Lakini ni muhimu kuangalia vyema maswali yako yawe yanalenga kilichopo kwenye Hypothesis/Research Question
Why All these?
Kwanza kuelezana mambo ambayo watu inawezekana hawavijui, lakini pia kwa vigezo vya sasa ni muhimu mwanafunzi hasa wa masters na kuendelea kuwa na maswali mazuri ili akituma manuscript kuwa published kwenye Journal iwe na likelihood ndogo ya kukataliwa
Signed
OEDIPUS