Jifunze hivi,weekend hii

Jifunze hivi,weekend hii

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Habari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha.

Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle.

Jumamosi ya Leo nimeona isipite bila kuandika chochote inaweza kukusaidia au kumsaidia mwingine kikubwa tusinyimane maarifa humu jf

•Nawakumbusha hakuna kukata tamaa mwaka huu umeamua kupambana basi pambana kwelikweli usikate tamaa kwenye maisha ila ukizidiwa badilisha mbinu za mapambano,achana na wajinga wanaosema urudishe mpila kwa kipa hiyo ni Bonge la kosa kwenye maisha.

•Jifunze kujishusha ili upate connection, kuna ile kauli ya maskini jeuri kama vipi iweke pembeni kidogo pale unapotafuta connection ila jishushe kwa mipaka sio mpaka unadharaulika kupitiliza huo utakua uzuzu.

•Jifunze kuhusu fursa kabla hujaikimbilia,tunajua kutake risk ni moja kati ya mambo ya msingi ili uendelee kiuchumi ila basi jifunze kuhusu risk yenyewe kuepuka scams opportunity.

•Afya ndo kila kitu jitahidi angalau ufanye mazoezi basi kila unapopata nafasi hii itakufanya pia uupende mwili wako

•Jitahidi uongeze vyanzo vyako vya mapato
•tumia muda vizuri,punguza kuangalia movie sana,kulala sana,kucheza games sana huo muda unaochezea ipo siku utajutia
•Jijengee utaratibu wa kusoma vitabu na pia miliki diary uwe unaandika mawazo mbalimbali ya kujikwamua kiuchumi in you are free time.
•umaskini ni mbaya na una gharama na hapa naongelea zaidi umaskini wa kipato(kuna watu wataanza kusema ooh! Kikubwa uhai utajiri upo mbinguni, au hata uwe tajiri lakini utazikwa chini hizi ni akili za kimaskini na kipumbavu piga chini)
•Badilisha taratibu aina ya marafiki ulionao wale wasiokujenga piga chini.

•Connection yako na watu ndio msingi mkuu wa maisha na kumaintain life
Tafuta connection za kukujenga na kukuimarisha watu ambao unajua hata ukikaa nao mkajadili mambo ya msingi kimaisha na kiuchumi lazima utoke na madini ya kutosha hao ndo watu wa kuwa na connection nao,
Kwa humu jf nazungumzia watu kama
Asha D Abinallah
Pascal Mayalla
CHASHA FARMING
JZHOELO
Mkaruka
manengelo
GLOBAL CITIZEN
kinundu (aweke tu mapuuza pembeni ana akili sana ila hapendi kuzitumia akijiongeza atafika mbali)

The Monk
Mwl.RCT
RRONDO (masikhara mengi )
Watu hawa Na wengineo siwezi kuwataja wote nikamaliza ila ni wenye Mawazo chanya na kiukweli huwa naheshimu sana michango yao na point wanazoziandika humu ndani
I STAND TO BE CORRECTED
 
Na mimi nakazia kwamba 2020 kuna machaguo mawili (2) tu :-

Mtu aendelee kupambana mpaka kieleweke (kupata anachokitaka/mafanikio)

Au

Akate tamaa ili aendelee kudhalilika na kudharaulika

Choice is yours !

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa🙌 hiyo nzuri maisha ni vita yaani kuua au kuuawa
 
Shukhrani sana Mkuu Metakelfin.

Sikujua kama kuna watu nawainspire huku. Itabidi nikue sasa, nipunguze Jazba na Ghadhabu.

Nijitahidi kuchangia kwa ustaarabu.

Tatizo langu nina kumbu kumbu sana na niko very emotional. Mtu akiniletea unafiki naghadhabika ghafla.

Yaani humu nishapigwa BAN sana.

Ila tu niwashauri Moderator pia kama tayari wana access ya kufuta Threads za watu au Comments sasa kwanini wapige watu BAN tena za mwezi mzima ?

Shukhrani tena Mkuu.
 
Mkaruka,
Kweli mkuu kudhibiti hisia ni kitu cha msingi sana kwenye maisha haya.
labda mod huwa wanaadhibu watu kwa sababu ya kuwafanya wasirudie makosa yao na waelewe wamekosea.

Ntafurahi kujua umedhibiti emotion zako.
Wewe ni kioo humu kuna wengi wanajifunza kwa mazuri unayoandika(comment)
 
Kufikia mwezi wa4 ninampango wakuongeza kipato changu kwaasilimia sio Chini ya50 Mungu nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Malengo lazima yatimie kukupa tu uzima Mungu kakusaidia sana.hakuna kinachoshindikana ambacho mwanadamu mwingine kakiweza.

Nakuombea uvuke hata malengo uliyonayo kikubwa nidhamu yako binafsi na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
 
Leo nilikua nasoma kitabu cha succeed and grow rich through persuasion...
Kuna vitu muhimu ambavyo unapaswa kujitathimini!
1.define your goal &move towards them
2.learn to go the extra miles(ndo nipo sasa mimi hapa)
3Put enthuasim into your words n deeds(nipo hapa)
4.Develop your capacity for faith
5.control and direct your emotions
6.control your dominating thoughy habits
7.Learn to transmute adversity into a benefit😊
8 transmute sex emotion...
9.Follow the habit of prayer

Jiangalie wapi uko weak!
 
Shukhrani sana Mkuu Metakelfin.

Sikujua kama kuna watu nawainspire huku. Itabidi nikue sasa, nipunguze Jazba na Ghadhabu.

Nijitahidi kuchangia kwa ustaarabu.

Tatizo langu nina kumbu kumbu sana na niko very emotional. Mtu akiniletea unafiki naghadhabika ghafla.

Yaani humu nishapigwa BAN sana.

Ila tu niwashauri Moderator pia kama tayari wana access ya kufuta Threads za watu au Comments sasa kwanini wapige watu BAN tena za mwezi mzima ?

Shukhrani tena Mkuu.

Mie nimeanza mwaka na ban! Jukwaa la siasa nashindwa kbs kutoingia mle! naomba Mungu anipe unyenyekevu ccm niwazoee tu!yaan huu mwaka sitak kuwa shabiki wa siasa!..najikuta napoteza muda sana!
Ccm shenzi zao!
 
Habari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha,
Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle,
Jumamosi ya Leo nimeona isipite bila kuandika chochote inaweza kukusaidia au kumsaidia mwingine kikubwa tusinyimane maarifa humu jf

•nawakumbusha hakuna kukata tamaa mwaka huu umeamua kupambana basi pambana kwelikweli usikate tamaa kwenye maisha ila ukizidiwa badilisha mbinu za mapambano,achana na wajinga wanaosema urudishe mpila kwa kipa hiyo ni Bonge la kosa kwenye maisha.

•jifunze kujishusha ili upate connection, kuna ile kauli ya maskini jeuri kama vipi iweke pembeni kidogo pale unapotafuta connection ila jishushe kwa mipaka sio mpaka unadharaulika kupitiliza huo utakua uzuzu.

•jifunze kuhusu fursa kabla hujaikimbilia,tunajua kutake risk ni moja kati ya mambo ya msingi ili uendelee kiuchumi ila basi jifunze kuhusu risk yenyewe kuepuka scams opportunity.

•Afya ndo kila kitu jitahidi angalau ufanye mazoezi basi kila unapopata nafasi hii itakufanya pia uupende mwili wako

•jitahidi uongeze vyanzo vyako vya mapato
•tumia muda vizuri,punguza kuangalia movie sana,kulala sana,kucheza games sana huo muda unaochezea ipo siku utajutia
•jijengee utaratibu wa kusoma vitabu na pia miliki diary uwe unaandika mawazo mbalimbali ya kujikwamua kiuchumi in you are free time.
•umaskini ni mbaya na una gharama na hapa naongelea zaidi umaskini wa kipato(kuna watu wataanza kusema ooh! Kikubwa uhai utajiri upo mbinguni, au hata uwe tajiri lakini utazikwa chini hizi ni akili za kimaskini na kipumbavu piga chini)
•badilisha taratibu aina ya marafiki ulionao wale wasiokujenga piga chini.

•connection yako na watu ndio msingi mkuu wa maisha na kumaintain life
Tafuta connection za kukujenga na kukuimarisha watu ambao unajua hata ukikaa nao mkajadili mambo ya msingi kimaisha na kiuchumi lazima utoke na madini ya kutosha hao ndo watu wa kuwa na connection nao,
Kwa humu jf nazungumzia watu kama
Asha D Abinallah
Pascal Mayalla
CHASHA FARMING
JZHOELO
Mkaruka
manengelo
GLOBAL CITIZEN
kinundu (aweke tu mapuuza pembeni ana akili sana ila hapendi kuzitumia akijiongeza atafika mbali)

The Monk
Mwl.RCT
RRONDO (masikhara mengi )
Watu hawa Na wengineo siwezi kuwataja wote nikamaliza ila ni wenye Mawazo chanya na kiukweli huwa naheshimu sana michango yao na point wanazoziandika humu ndani
I STAND TO BE CORRECTED
Asante saana ndugu yetu wa JF

Naamini mwisho wa mwaka huu tutakuja na mrejesho mzuri sana aisee!

Ubarikiwe sana kutukumbusha vitu muhimu sana maishani.

Pia sisitiza ibada kwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikua nasoma kitabu cha succeed and grow rich through persuasion...
Kuna vitu muhimu ambavyo unapaswa kujitathimini!
1.define your goal &move towards them
2.learn to go the extra miles(ndo nipo sasa mimi hapa)
3Put enthuasim into your words n deeds(nipo hapa)
4.Develop your capacity for faith
5.control and direct your emotions
6.control your dominating thoughy habits
7.Learn to transmute adversity into a benefit😊
8 transmute sex emotion...
9.Follow the habit of prayer

Jiangalie wapi uko weak!
Nashukuru kwa ujumbe wako mkuu.
Maneno yako nayahamishia kwenye vitendo.
Tommorow must be better than...
Tujitahidi kusonga mbele Kila siku hata Kama Ni taratibu ila usibaki pale ulipokua Jana.
 
Asante saana ndugu yetu wa JF

Naamini mwisho wa mwaka huu tutakuja na mrejesho mzuri sana aisee!

Ubarikiwe sana kutukumbusha vitu muhimu sana maishani.

Pia sisitiza ibada kwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu Ni muhimu kumtanguliza mwenyezi MUNGU Ili tunapokua kiuchumi tusikumbane na mabalaa.

Yaani kikubwa imani uiweke thabiti popote pale unapoamini iwe msikitini,kanisani,makaburini au mizimu ya kwenu kikubwa Ni uthabiti wa imani
 
Asante saana ndugu yetu wa JF

Naamini mwisho wa mwaka huu tutakuja na mrejesho mzuri sana aisee!

Ubarikiwe sana kutukumbusha vitu muhimu sana maishani.

Pia sisitiza ibada kwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu Ni muhimu kumtanguliza mwenyezi MUNGU Ili tunapokua kiuchumi tusikumbane na mabalaa,
Yaani kikubwa imani uiweke thabiti popote pale unapoamini iwe msikitini,kanisani,makaburini au mizimu ya kwenu kikubwa Ni uthabiti wa imani
 
Back
Top Bottom