Tugende Tukole
Member
- Jan 3, 2023
- 16
- 6
samahani vipi lakini kuhusu AlibabaEbay ni soko kama unavyosema kkoo ebaya haiibi wala haipo trusted kama vile soko halikuibii wala haliaminiki. wanaoiba ni watu ndio maana unatakiwa unaponunua kitu ebay au amazon uwe unaangalia review za muuzaji.
hapo hapo mkuu, naomba kuuliza, kuhusu namna ya kufanya selection. Kwa mfano labda ningetamani mzigo wangu utokee Marekani na sio HongKong nafanyaje kufanya uchaguzi huo?shipping inategemea ni wapi mzigo unatoka, mfano mzigo unaotoka marekani na mwingine unatoka hongkong bei itakuwa tofauti, au mzigo unakuja kwa meli au kwa ndege bei zinakuwa tofauti na uwa wanazitaja,
kama huna haraka na mzigo chagua free shipping
Ni soko La Jumla ambalo watu wanauza vitu kwa Wingi, Aliexpress na Alibabab ni kampuni moja, Alibaba jumla na Aliexpress Rejareja.samahani vipi lakini kuhusu Alibaba
Ni soko La Jumla ambalo watu wanauza vitu kwa Wingi, Aliexpress na Alibabab ni kampuni moja, Alibaba jumla na Aliexpress Rejareja.
Ni soko La Jumla ambalo watu wanauza vitu kwa Wingi, Aliexpress na Alibabab ni kampuni moja, Alibaba jumla na Aliexpress Rejareja.
Either umefika hapa ama kuna nchi umefika then unakuja. Kama umefika hapa wataku update mda si mrefu wakiu clear.Sorry Mkuu,ni mara yangu ya kwanza kuagiza kitu online..hv huu mzigo utakuwa umefika wapi kwa mujibu wa inavyoonekana hapa?maana pale juu kile kidude hakisogei bado kipo pale pale kwenye CNView attachment 2475194
Either umefika hapa ama kuna nchi umefika then unakuja. Kama umefika hapa wataku update mda si mrefu wakiu clear.
Tumia 3rd party tracking system kwa maelezo zaidi, hio built in haipo detailed sana.
Kama hawaIpi ni nzuri kaka ili niitumie?
Kama hawa
Universal Parcel Tracking - Global Package Tracking
Parcel Tracking Worldwide. Track Parcel in USA. Global postal tracking from eBay, AliExpress, ASOS, Shein, Amazon. Tracking packages from China, UK, Germanyparcelsapp.com
Copy tracking numberIpi ni nzuri kaka ili niitumie?
Hela kidogo haifiki 5000. Kama utapokea posta, kwa Speedaf ni bure.Jamani nilikua naomba ufafanuzi kuhusu mzigo wako unapofika posta ili uuchukue hua Kuna malipo utatakiwa kufanya au ukishalipa Ile shipping fee ndo unakua umemaliza.
Na Kama yapo hua ni kiasi gani?
ASANTENI
Nimeagiza simu mara 2 sijawahi kulipia.Hela kidogo haifiki 5000. Kama utapokea posta, kwa Speedaf ni bure.
Kuna mizigo inapitia Tra kama ikiwa una thamani kama simu ama mizigo mingine mikubwa, unalipia Vat 18%.
Inatokea Bahati ya mtu mkuu, Mimi kisimu kidogo tu cha 50,000 nililipishwa.Nimeagiza simu mara 2 sijawahi kulipia.
Fafanua kidogo kuhusu hizo herufi mkuuVitu vinavyokuja bila ya kua na herufi "R" ndo unalipia dollar 1
Fafanua kidogo kuhusu hizo herufi mkuu
Nimeagiza mzigo (saa) ebay tangu mwezi 12 wakasema utafika tarehe 3 feb. Nilivyofuatilia ilionekana umefika tz ko nilikuwa nasubiri simu maana post nilipita sana tuu bila mafanikio. Nilivyowasiliana noa wakasema nirekebishe anwani yangu nikarekebisha. Baada ya hapo wakasema nisubiri watatuma tena nisubiri hadi tarehe 3 april. Hadi muda huu sijapata. Nifanyaje???