Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
eBay nimeshindwa kubalisha bei ya bidhaa isomeke kwa Tshs. Ninyi wazoefu mnawezaje? Nimezoea AliExpress kila bidhaa inasomeka kwa bei yetu ya madafu TSHS.Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eBay nimeshindwa kubalisha bei ya bidhaa isomeke kwa Tshs. Ninyi wazoefu mnawezaje? Nimezoea AliExpress kila bidhaa inasomeka kwa bei yetu ya madafu TSHS.Ndio
Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.eBay nimeshindwa kubalisha bei ya bidhaa isomeke kwa Tshs. Ninyi wazoefu mnawezaje? Nimezoea AliExpress kila bidhaa inasomeka kwa bei yetu ya madafu TSHS.
Nje ya mada.Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Kama unaagiza China tafuta brand za huko huko, otherwise nunua tu hapa hapa.Nje ya mada.
Kwa kuagiza kutoka China laptop gani nzuri na durable inafaa kwa something like TSh 1,500,000
* Kuangalia movie
* Gaming is not priority at all
* Ukaaji chaji
* Ports nyingi
* Display kali
* Good speakers
* Slim lightweight design
Kampuni yoyote kati ya hizi zinazojulikana. Mimi ni student kwa hiyo wazazi wanataka knuninunulia laptop ila wanataka kuagiza China. Sasa sina ujuzi na haya mambo naomba msaada wako nisije nikakosea kuchagua laptop
Sijakuelewa!Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Ku convert, fungua tab mpya halafu andika, mfano ukiandika tu 135 usd to tsh Inakuja.Sijakuelewa!
Nitumie Google to convert the price into Tshs au nitumie Google kuingia eBay ndiyo nitaweza kuset my local currency?
Asante kwa mchango Wako!Ku convert, fungua tab mpya halafu andika, mfano ukiandika tu 135 usd to tsh Inakuja.
ShukraniKama unaagiza China tafuta brand za huko huko, otherwise nunua tu hapa hapa.
Kwa China brand zao nzuri ni kama Xiaomi, Huawei,
Redmi book huwa wanaiga iga Macbook ni nzuri kimuonekano, specs kali na zinakaa na chaji, around $600 budget yako unapata redmi book nzuri za miaka ya karibuni.
Tafuta za Ryzen kwa hio budget zitakua na chaji zaidi, Ryzen 6600H na 6800H naziona kwa hio budget kwenye Redmi book pro 14 ama 15 2022. Kama portability ni muhimu zaidi inch 14 ni portable sana.
Kama unataka viwembe vile kama Xps na HP spectre bei zimesimama sana China.
Mkuu nlikua naomba mawasiliano yako nimepata changamoto yakodi pia for the first time toka niwe naagiza na Aliexpress nlitaka nipate atleast mwongozoTumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Hivi mkuu hizo Xiaomi laptops zinafaa kwa matumizi ya muda mrefu kweli. Af mbona nyingi ni 300nits kushukaKwa China brand zao nzuri ni kama Xiaomi, Huawei,
Redmi book huwa wanaiga iga Macbook ni nzuri kimuonekano, specs kali na zinakaa na chaji, around $600 budget yako unapata redmi book nzuri za miaka ya karibuni.
Tafuta za Ryzen kwa hio budget zitakua na chaji zaidi, Ryzen 6600H na 6800H naziona kwa hio budget kwenye Redmi book pro 14 ama 15 2022. Kama portability ni muhimu zaidi inch 14 ni portable sana.
Kama unataka viwembe vile kama Xps na HP spectre bei zimesimama sana China.
300 nits kwa Display kubwa si ndogo mkuu, laptop ikiwa na nits 500 ama 600 ndio inakua considered bright sana.Hivi mkuu hizo Xiaomi laptops zinafaa kwa matumizi ya muda mrefu kweli. Af mbona nyingi ni 300nits kushuka
Na vipi kuhusu ASUS na Lenovo nazo China bei imesimama?
Nunua toka amazon.Na vipi kuhusu ASUS na Lenovo nazo China bei imesimama?
Amazon kama laptop ni 1,600,000/= mpaka ikufikie mkononi inabidi uwe na TSh ngapi jumlaNunua toka amazon.
1. Chagua laptop husikaAmazon kama laptop ni 1,600,000/= mpaka ikufikie mkononi inabidi uwe na TSh ngapi jumla
Sawa1. Chagua laptop husika
2. Angalia estimated cost huwa imeandikwa.
1. Chagua laptop husika
2. Angalia estimated cost huwa imeandikwa.
Mwalimu hii mpaka Tanzania tunaleta kwa How much?1. Chagua laptop husika
2. Angalia estimated cost huwa imeandikwa.
298,304 TZSMwalimu hii mpaka Tanzania tunaleta kwa How much?