Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Nje ya mada.

Kwa kuagiza kutoka China laptop gani nzuri na durable inafaa kwa something like TSh 1,500,000

* Kuangalia movie

* Gaming is not priority at all

* Ukaaji chaji

* Ports nyingi

* Display kali

* Good speakers

* Slim lightweight design

Kampuni yoyote kati ya hizi zinazojulikana. Mimi ni student kwa hiyo wazazi wanataka knuninunulia laptop ila wanataka kuagiza China. Sasa sina ujuzi na haya mambo naomba msaada wako nisije nikakosea kuchagua laptop
 
Kama unaagiza China tafuta brand za huko huko, otherwise nunua tu hapa hapa.

Kwa China brand zao nzuri ni kama Xiaomi, Huawei,

Redmi book huwa wanaiga iga Macbook ni nzuri kimuonekano, specs kali na zinakaa na chaji, around $600 budget yako unapata redmi book nzuri za miaka ya karibuni.

Tafuta za Ryzen kwa hio budget zitakua na chaji zaidi, Ryzen 6600H na 6800H naziona kwa hio budget kwenye Redmi book pro 14 ama 15 2022. Kama portability ni muhimu zaidi inch 14 ni portable sana.

Kama unataka viwembe vile kama Xps na HP spectre bei zimesimama sana China.
 
Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Sijakuelewa!
Nitumie Google to convert the price into Tshs au nitumie Google kuingia eBay ndiyo nitaweza kuset my local currency?
 
Sijakuelewa!
Nitumie Google to convert the price into Tshs au nitumie Google kuingia eBay ndiyo nitaweza kuset my local currency?
Ku convert, fungua tab mpya halafu andika, mfano ukiandika tu 135 usd to tsh Inakuja.
 
Ku convert, fungua tab mpya halafu andika, mfano ukiandika tu 135 usd to tsh Inakuja.
Asante kwa mchango Wako!
Nafanyaga Hivyo hivyo (kutumia Google ku-convert into TZS), nilidhani eBay kwenyewe kuna option ya kafanya Hivyo-sababu mi Siyo mzoefu wa soko la eBay-ndiyo maana nikaja kuuliza huku.
 
Shukrani
 
Tumia google, hata Aliexpress zile tsh ni. Makadirio tu ya exchange rate haimaanishi 100% wa nakata exactly vile.
Mkuu nlikua naomba mawasiliano yako nimepata changamoto yakodi pia for the first time toka niwe naagiza na Aliexpress nlitaka nipate atleast mwongozo
 
Hivi mkuu hizo Xiaomi laptops zinafaa kwa matumizi ya muda mrefu kweli. Af mbona nyingi ni 300nits kushuka
Na vipi kuhusu ASUS na Lenovo nazo China bei imesimama?
 
Hivi mkuu hizo Xiaomi laptops zinafaa kwa matumizi ya muda mrefu kweli. Af mbona nyingi ni 300nits kushuka
Na vipi kuhusu ASUS na Lenovo nazo China bei imesimama?
300 nits kwa Display kubwa si ndogo mkuu, laptop ikiwa na nits 500 ama 600 ndio inakua considered bright sana.

Lenovo na Asus kwa ambazo zinauzwa soko la kimataifa kama Thinkpad ndio bei ni kubwa, wana models za china ila sipo familiar nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…