davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Kwa kawaida huwa kunakuwa na muda maalum wa ku clear miamala ya kibenki. Mfano, nlienda south africa nikafanya manunuzi kwa kutumia mastercard yangu na pia nilitoa fedha kwenye atm za kule. Kilichotokea ni kuwa zile fedha hazikutolewa kwenye account yangu ila wslizishikilia kwa mwezi mzima kiasi kwamba huwezi kuwithdraw pesa. Yaani kwenye salio zinaonekana lakini huwezi kutoa. Hii ni kwa mujibu wa sheria zao za kibenki. Lengo ni kukupa fursa kuwa kama hukufanya miamala hiyo kwa vyovyote utaenda kuuliza kwann fedha zako zimedhikiliwa na kama usipoenda zikifika takribani siku thelathini hivi ndio wanaclear huo muamala. Jaribu kuicheki account yako huenda una miamala mingi ambayo umeifanya ndani ya muda mfupi na yote haijawa cleared. Wakati mwingine ukienda benki na ukakiri kufanya miamala hiyo itakuwa rahisi ku clear account yako
Chuoni kuna Post office hivo mizigo inaletwa pale afu inapelekwa kwa Masijala(wanao husika na records za vitu) afu kama kuna namba wananiiita au mm naenda kufuatilia
Wakuu,
Tumekuwa tukifundishana sana namna ya kununua online na kwa elimu hiyo tumeweza kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Sasa tuangalie na kuuza pia.
Nikitaka kuuza kitu online kwenye hizo sites nilizotaja tunafanyaje?
bora uuze olx na kupatana huko mana kwa eBay na haya mambo ya PayPal naona itakua tabu hasa ukizngatia bado ni shida kidogo kwa bank zetu kupokea hela kwa PayPal.
Lakini kama nimeweza kununua kwa kutumia paypal..........kwa nini nisiuze na kupokea hela kwa hiyo hiyo PayPal.........?........
Mfumo wa nchi yetu hauruhusu
Kivipi mkuu.........?.......
Hivi, Equit Bank wanatoa Visa/Master Card? Njunwa Wamavoko
Masuala ya kibenki katika manunuzi ndio maana PayPal wakikurudishia pesa mpaka iingie kwenye acc yako ni shida
Utaratibu wa kupata hizi kadi ukoje,ni kama kufungua bank account ?