Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Vp unaeza niagizia bidhaa Kenya mkuu
Ndio ndugu, inawezekana:
1744694706550.png
Rejea:
- Post No5397 (click link) | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
ukiwa unanunua watakuuliza shipping adress iwe sawa na paypal au utabadili, ila details za paypl lazima ziwe sawa na card
Kama kuna mtu ameshafanya manunuzi kutoka AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama wa fedha. Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.
 
Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.
- Ili kujua bei halisi hakikisha umechagua shipping option. Unaweza kuta item inauzwa dola 2, ila shipping ni dola 13 (Muuzaji A), muuzaji B yeye atasem,a item ni USD 15 but ni FREE shipping. Ni janja janja ya kibiashara.
AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama
Ni salama na bidhaa uliyochagua itakufikia kulingana na anwani yako.
Zaidi: {| Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa |}
 
Kama kuna mtu ameshafanya manunuzi kutoka AliExpress amnisaidie kunijuza hali ya uaminifu na usalama wa fedha. Maana naona bidhaa zao bei zipo chini.
Nina uzoefu wa Kutosha na Aliexpress! Sijawahi kupata nao changamoto!
 
Back
Top Bottom